lenovo

  1. K

    Laptop aina ipi ni bora sana Lenovo HP au DELL?

    Wadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
  2. K

    Lenovo think Pad X260

    Wadau,, hivi kwa Dunia ya sasa,,je mtu anweza kununu Lenovo thinkPad X260 au unamshauri anunue laptop ipi inayoendena na heavy duty activities lakini inatunza charge kama Lenovo X260 Ram8GB?Naomba ushauri
  3. K

    Natafuta Kioo Cha Lenovo think pad model X260

    Jamani nani anakioo cha laptop aina ya Lenovo, Think Pad model X260. Cha laptop yangu watoto walidondosha so kimepata hitirafu
  4. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR

    Habari wakuu, Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR. . Taa inawaka vizuri kabisa. . Tatizo screen ndio haiwaki .. Niliipeleka kwa mafundi wakatest screen ni nzuri kabisa, wakatest RAM zote haizikubali .N.K
  5. B2L

    Nauza Lenovo Curved Gaming Monitor

    Habari wana JF. Nauza Lenovo Curved Gaming Monitor G27c-10 yangu inchi 27 bei 650k. Imetumika miezi 6 Specifications hizi hapa chini. Display size: 27 inches Display type: Curved LED-backlit LCD monitor Resolution: 1920 x 1080 pixels (Full HD) Panel Type: 3-side NearEdgeless VA Refresh rate...
  6. ngebo

    INAUZWA Lenovo Buds HT05

    🔸LENOVO BUDS HT05 🔸8 Hours playing time 🔸Zinakuja na Usb C yake ya kuchajia 🔸Bei 48,000 Tsh 🔸0693225605
  7. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

    Habari wakuu, Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
  8. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

    Habari wakuu, Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
  9. H

    Laptop lenovo ya kuiwahi chap chap

    Laptop aina ya Lenovo Storage: 1 terrabyte Corei5 Ram: 8 gb Battery: 5hrs (Normal use) Processor 2.3-2.4 Ghz Imported from Dubai. Ipo clean na haijatumika kbsa hapa bongo. Unaiona kwanza ukirizika unatoa pesa. Price 750K. Kaingalie dukani bei yake alafu njoo tufanye biashara...
  10. The Finesse Kid

    LENOVO LAPTOP X131e INAUZWA

    Lenovo X131e HDD 500 CHARGE 3HRS PRICE 200K FIXED CONT; 0766345199 IMETUMIKA MIEZI MINNE(4)
  11. K

    Naomba kujuzwa bei ya PC aina ya Lenovo au Dell

    Wakuu habari, Ninaomba kujua Bei ya dukani kwa pc ya lenovo au dell. Pia naomba kujua utofauti wa utendaji kazi wa aina hizi mbili za pc mfano kutunza betri na ubora kwa ujumla. Kimsingi nahitaji kuelewa vitu vya msingi vya kuzingatia na kukagua wakati wa kununua pc hizi. Natanguliza...
  12. Rabama

    Computer4Sale Tunauza laptop za kila aina

    Lenovo XIIM 2-in-1 laptop slim and nice Affordable 2-in-1 Tablet 10 windows tablet with detachable keyboard and hi-res display 11 Size ••Processor : Intel Atom X5 ••Generation: 6th ••RAM 4GB (DDR4) ••Storage: SSD 64GB. GB Extra ••Touch screen ✔️ Let your fingers do the talking ••Long...
  13. Lawrance franci

    LENOVO PC

    Lenovo T440p Core i5 Processor 2.6ghz Integrated graphics 4gb Fhd Max. Reso. Battery 5hrs Price 620000/=
  14. Toosie Slide

    Computer4Sale Lenovo X130e inauzwa Kibaha

    Lenovo X130e Bei ni 230,000, (Maongezi yapo, kubadilishana na smartphone accepted) Mawasiliano unaweza kuni DM Location Kibaha
  15. HISTAMINE

    Msaada: Lenovo laptop screen/monitor imevunjika na kumwaga wino

    Leo wakati naangalia mechi kati ya Aston villa na Chelsea, nikapata mihemko ya mpira nikadunda ngumi kitandani pembeni yangu, kumbe! nilikuwa nimeweka pc sikuiona, matokeo yake imevunjika screen ndani kwa ndani, rangi zimetawanyika, imepata kama kifafa hivi- maandishi yanacheza cheza. Wapi...
  16. Popacomputers

    Computer4Sale Lenovo Mini laptop for sale

    Lenovo Mini laptop for sale hard disk 250gb Ram 2gb core2duo Good condition price 230000 inapatikana karume Dar es salaam contact: 0757870230
  17. sanga kariakoo

    INAUZWA Dell na Lenovo Laptops zinauzwa

    akubwa habari Nauza mashine mtumba kutoka nje hazina shida yoyote ile njoo kariakoo dell lattitude d630 Ram 2gb hdd 250 nch 14 wide processor 2.0 ghz charge masaa 2 window 10 wifi bluetooth dvd rw tsh 190000 lenove IBM from usa iko vizuri balaa Ram 4gb hdd 250 nch 14 squire processor 1.83...
  18. sanga kariakoo

    Computer4Sale Dell na Lenovo Laptop

    wakubwa habari, nauza mashine mtumba kutoka nje hazina shida yoyote ile njoo kariakoo dell lattitude d630 ram 2gb hdd 250 nch 14 wide processor 2.0 ghz charge masaa 2 window 10 wifi bluetooth dvd rw tsh 190000 lenove IBM from usa iko vizuri balaa ram 4gb hdd 250 nch 14 squire processor 1.83...
  19. version001

    Msaada: lenovo y50_70 touch

    Habari wadau...natafuta housing ya computer aina ya Lenovo y50_70 touch..mfuniko wa nyuma na sehemu ya keyboard..au Kama scraper ipo yenye spare parts tuongee biashara pesa ya mfuko wa shati, 0717179040
  20. eli_dealz

    Phone4Sale Lenovo K5 Pro Brand new

    Lenovo K5 PRO BLACK *BRAND NEW* Qualcomm Snapdragon 636 64 GB Space 4 GB RAM 5.99 inch screen 4050 maH Battery Double Line and supports 4G all networks. 4 Cameras - 2 Back cameras (16MP,5MP) 2 Selfie Cameras (16 MP, 5 MP) 1 YEAR WARRANTY FROM LENOVO Price : IMESHAUZWA Contact ...
Back
Top Bottom