TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,098
- 12,728
Waambie wazifungie mkuu..unadhani wangekuwa na sheria hiyo kama hawajui?
Kama wanavyofungiaga Media na Viblog vingine..
Waambie wazifungie mkuu..unadhani wangekuwa na sheria hiyo kama hawajui?
TCRA hii hii iliyoipiga ban jf au kuna TCRA ziada?unahitaji kibali cha TCRA
Huyu atakuwa anafikri satellite ni kama drones!Kurusha satellite means launching?
Hawaitaji kibali, kama vile google earth na wengine. Wanarusha satellite huko kwao
Inazunguka dunia yote
Kiazi kweli wewe ....hapa naongelea utii wa sheriaTCRA hii hii iliyoipiga ban jf au kuna TCRA ziada?
Umewahi kijiuliza kwa nini jf imeendelea kuwa hewani ulimwenguni pote hata baada ya kupigwa ban na TCRA ?
Acha kutumia makalio kama akili yako zoba wahed weye
Nahisi anazungumzia drone huyu bwana,Sio tu hujui satellite inavyofanya kazi hata maana ya satellite hujui.
Vile vya enzi za vita baridi . Na kama sio vya china ni vya mrusi
YosanafabecheWewe huna unachojua kabisa. Satellite nazo zinahitaji vibali huwezi kujifanyia tu. Zipo sheria za kimataifa zinazosimamia satellite landing rights. Mleta uzi kauliza swali la msingi sana ila nyie misukule ya Lissu na Mange mnakurupuka kutukana na kujibu msiyoyajua.
Hata tu sisi tuliosoma geography ya form 3 topic ya photography na map reading tunaweza kummudu kujibu hili swali.Swali la kiwaki.
Waulize watu wa department of Geography pale mlimani. Au ongea na mtu yeyote mwenye utaalaam wa GIS (Geographical Information System).
Satellite images zimekuwa zikitumiwa muda mrefu sana na watu wa mbuga za wanyama kwa ajili ya tafiti kwenye mbuga na mambo ya mazingira.
Ahahaaa Baada ya kuukosa uwaziri unabwata we mama!kwahiyo hata katika hili walihitaji kibali?
Kama umesoma sheria angalau chekechea unajua kuwa sheria inaruhusu kuvunjwa panapolazimika.
Mfano 1. Hurusiwi kuingia chumbani kwa mtu pasipo ruhusa lakini ikitokea kuna hatari ya moto, mauaji, ubakaji huhitaji ruhusa kuingia chumbani kwa mtu.
Mfano 2. Hurusiwi kuingia shambani kwa mtu pasipo ruhusa lakini unapoona jambazi kajificha shambani mwa mtu na wewe ni askari utaenda kumshika jambazi au utamtafuta mwenye shamba ili akupe kibali?
Upo sawa lakini hizo landing rights zinakuwa null and Void as far as crime is concerned hususani dhidi ya raia. Tuhuma za kuua watu na kwenda kuwafukia kuficha ushahidi tayari hapo mme Spook attention ya umoja wa mataifa... Kuna Red line hupaswi kuvuka... Kamuulize ayatollah nini kilimkuta pale B-2 stealth bomber zilipokuja kwenye anga lake kumsabahi...Nimesikitika sana kugundua kuwa watu hawajui satelite huwa zinarusha mawimbi kutua sehemu mbalimbali ndo hapo LANDING RIGHTS zinapohusika. Yaani mtu anakurupuka kutafsiri kiingereza kwenda kiswahili bila kujua hilo neno linatumikaje kwenye tasnia.
Nyie kibali cha kuua maelfu ya raia mlikipata wapi?Ili kuweza kurusha maudhui ya satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahusika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??au kuvamia anga la Tanzania?
Ili kuweza kurusha maudhui ya satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahusika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??au kuvamia anga la Tanzania?
Access ya mimi kwenye google map naamini ina kibali cha TCRA.Mzee baba una nia nzuri ya kutaka kudadisi lakini nahisi umechanganya mafaili...
Kurusha maudhui kama matangazo ya televisheni au redio kwa 'satelaiti' sio sawa na kutumia matumizi ya 'satelaiti' mathalani GPS kutazama hali ya juu ya nchi...
Mfano wewe kwenye simu yako unaweza ukawa umeweka app ya Google earth inayokuwezesha kutembelea eneo lolote dunianai na kutazama mandhari yake toka juu 'aerial view' na wala huitaji kibali chochote...
Njia nyingine ni kupitia mifumo ya kijeshi haswa majeshi ya nchi zilizoendelea ambazo huwa na mfumo wa kuchunguza mienendo ya chochote kinachotokea chini kwa ama kutumia 'satelaiti' au ' kutumia ndege zisizo na rubani...
Hivyo wakati jamaa wanatembeza njugu siku hizo, huwenda wenzetu walisogeza drones zao almaarufu 'bird' kwenye anga letu ili kulinda maslahi yao ikiwemo ubalozi...
Una elimu gani? Zile Satelitee za NATO zinazo piga picha Urusi huwa wana kibali? Fuvu lako umebeba kamasi badala ya Ubongo?Ili kuweza kurusha maudhui ya satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahusika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??au kuvamia anga la Tanzania?