Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,811
- 110,060
Access ya mimi kwenye google map naamini ina kibali cha TCRA.
Swali langu ni rahisi sana ..je CNN walitumia google map ninayotumia kufanya analysis au kitu kingine ?kumbuka google map haina access ya maeneo yote nchini.
unapotaka kutumia something beyond civilian acceptable apps lazima upate kibali...je kibali hiko walikipata?
kama hawakuwa nacho hiyo ni violation ya mipaka yetu inayolindwa na JWTZ...na kamwa huwezi kujikweza kwa kuviolate mipaka ya nchi nyingine hata kama una uwezo huo .
This is a serious security matter of concern!
Wametumia GPS map hii hii kama ya google isipokuwa picha zake za satelaiti zipo updated...
Kwa kawaida google map tunayoitumia sio real time kwa sababu za kiusalama...
Lakini ukitaka picha ambazo ni real time kwa sababu za kiuchunguzi, kiudukuzi au kijasusi basi huwa zinapatikana...
Kama umekuwa mfuatilia wa habari za vita mashariki ya kati, ghuba ya uajemi basi utakubaliana nami kuna wakati mashirika ya habari kama CNn au BBC yanarusha habari za kiuchunguzi zenye picha za satelaiti kuonesha labda makombora yamepiga au kuharibu eneo gani, au kuonesha maghala au mitambo fulani ya nyuklia n.k
Sisi watumiaji wa kawaida tukitazama kwa sasa namna Kondo ilivyo, tutaona picha za mwisho za satelaiti pengine za Juni au July 2025, hivyo huwezi kuona mabadiliko yeyote ya Oktoba au Novemba...
Picha ya Kondo ukitazama google map leo tar 22/23 Nov (inategemea upo majira gani)