Tuna kazi kubwa ila tusichokeNimesikitika sana kugundua kuwa watu hawajui satelite huwa zinarusha mawimbi kutua sehemu mbalimbali ndo hapo LANDING RIGHTS zinapohusika. Yaani mtu anakurupuka kutafsiri kiingereza kwenda kiswahili bila kujua hilo neno linatumikaje kwenye tasnia.
Mkuu umekumbwa na nini mbona haupo na S.... kwenye hili??kwahiyo hata katika hili walihitaji kibali?
Kama umesoma sheria angalau chekechea unajua kuwa sheria inaruhusu kuvunjwa panapolazimika.
Mfano 1. Hurusiwi kuingia chumbani kwa mtu pasipo ruhusa lakini ikitokea kuna hatari ya moto, mauaji, ubakaji huhitaji ruhusa kuingia chumbani kwa mtu.
Mfano 2. Hurusiwi kuingia shambani kwa mtu pasipo ruhusa lakini unapoona jambazi kajificha shambani mwa mtu na wewe ni askari utaenda kumshika jambazi au utamtafuta mwenye shamba ili akupe kibali?
umezisoma sheria za TCRA?zina dos and donts.kwahiyo hata katika hili walihitaji kibali?
Kama umesoma sheria angalau chekechea unajua kuwa sheria inaruhusu kuvunjwa panapolazimika.
Mfano 1. Hurusiwi kuingia chumbani kwa mtu pasipo ruhusa lakini ikitokea kuna hatari ya moto, mauaji, ubakaji huhitaji ruhusa kuingia chumbani kwa mtu.
Mfano 2. Hurusiwi kuingia shambani kwa mtu pasipo ruhusa lakini unapoona jambazi kajificha shambani mwa mtu na wewe ni askari utaenda kumshika jambazi au utamtafuta mwenye shamba ili akupe kibali?
Mkuu unasema satellites zinahitaji kibali kuoperate kwenye eneo la Tanzania?Nilijua kuna vilaza wenye kiingereza cha juhudi binafsi mngejitokeza baada ya kuona neno LANDING. Inasikitisha sana. Ngoja nikueleweshe huo ujinga na wenzako ukutoke. Landing rights linatumika sana kwenye mambo yanayohusiana na anga na ni maarufu zaidi kwenye vitu jamii ya aeroplanes ila kwa upande wa satellite inamaanisha haki ambazo nchi hutoa kwa satelite ya kigeni kurusha mawimbi (to land signals) kwenye eneo la nchi husika (territory). Kimsingi satellite kuweza ku-operate kwenye eneo la Tanzania lazima kuwe na vibali ambavyo ndo maarufu kwa jina la Landing rights. ACHA HUO UPUMBAVU WA KUTAFSIRI KIINGEREZA KWENDA KISWAHILI BILA KUJUA LINATUMIKAJE NA WAPI.
Kote huko zinapita vizuri tu, maana satellites hupita juu sana nje ya anga la nchi (sovereign airspace) ambayo huishia 100km.Kwa nchi hizi za Africa satellite haziwezi kuzuiliwa.. Ila kwa nchi kama China au Russia huwezi Kuta USA ameweka satellite yake huko
Hili swali ungemuuliza mume wako Abdul! Usichoshe watu na hizi mada zako za kipumbavu.Ili kuweza kurusha maudhui ya satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahusika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??au kuvamia anga la Tanzania?
Ni ngumu kumuelewesha msukule wa Lissu au Mange Kimambi.Wewe nae ni kopo lingine landing right haihusiani na upigaji wa picha za satellite.
Ajui kama ile ni free spaceWewe ni mjinga kabisa. Huna maarifa.
Satellites zipo juu ya anga la Tanzania na dunia nzima na zinachukua picha masaa 24 na huhitaji kibali chochote.
Ni ex-ndugu zangu nawajua exactly akili zao.Mkuu mbona bifu lako na Hawa watu kama peseno sana,why 😎
Kuchukua picha za Satellite huhitaji kibali cha nchi yoyote ile. Hivi wewe umesoma wapi, unajua hizo Satellite zinazunguka dunia nzima, zinapiga picha dunia nzima bila kificho? Kuna aina nyingi za Satellite lakini maarufu zaidi ni Maxar, hizo zote zinapiga picha kama zinavyotaka, hakuna kizuizi, ndiyo maana tunaona picha za milima, volcano and other landmarks bila kificho. North Korea inazo picha nyingi za Satellite zilizopigwa na hiyo Maxar ambayo ipo kibiashara, meli za vita za China zimepigwa picha zikiwa zinatengenezwa hadi zikiwa zimemalizika, USA pia kuna picha zake zimepigwa na nchi kama Russia au China. Hakuna mipaka kwenye kupiga picha za Satellite, Hauhitaji kuomba ruhusa kwa yeyote.Ili kuweza kurusha maudhui ya satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahusika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??au kuvamia anga la Tanzania?
Maji ya shingoIli kuweza kurusha maudhui ya satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahusika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??au kuvamia anga la Tanzania?
Hao TCRA Kwanza hata wanajua kama Kuna satellite juu ya anga la Tanzania?Ili kuweza kurusha maudhui ya satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahusika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??au kuvamia anga la Tanzania?
Bado elimu yako kwenye hili ni ya kawaida sasa google upate elimu kutoka vyanzo sahihiKuchukua picha za Satellite huhitaji kibali cha nchi yoyote ile. Hivi wewe umesoma wapi, unajua hizo Satellite zinazunguka dunia nzima, zinapiga picha dunia nzima bila kificho? Kuna aina nyingi za Satellite lakini maarufu zaidi ni Maxar, hizo zote zinapiga picha kama zinavyotaka, hakuna kizuizi, ndiyo maana tunaona picha za milima, volcano and other landmarks bila kificho. North Korea inazo picha nyingi za Satellite zilizopigwa na hiyo Maxar ambayo ipo kibiashara, meli za vita za China zimepigwa picha zikiwa zinatengenezwa hadi zikiwa zimemalizika, USA pia kuna picha zake zimepigwa na nchi kama Russia au China. Hakuna mipaka kwenye kupiga picha za Satellite, Hauhitaji kuomba ruhusa kwa yeyote.