Landing Rights for satellite launching in Tanzania

Kwani TCRA si wameifungia JF kwa walioko Tanzania wakaenda mbali na kusema kutumia VPN nayo hadi uwe na kibali?

Sasa mbona bado machawa na vidampa wa ajuza muuaji wanatumia JF kwa VPN ambazo hawajazisajili na bado wanadunda.

Hivyo ndio maisha yanaenda , mmekamatwa na kubabanishwa kwenye kona ndio maana sasa mnatafuta vijihabari uchwara.

Kwa sasa kuanzia boss hadi vidampa mmechanganyikiwa shauri ya damu mlizomwaga.

Boss wenu alianza kusema wale waandamanaji wametoka nje ya nchi kabadilika tena anasema walifuata mkumbo , ghafla majuzi tena anasema walilipwa kuandamana , hamueleweki na hamna pa kushika mnatapatapa tu.

Pole sana jinga lao.
 
Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?

Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Eh ☝️😭😅😅😅😅😪😫
 
Wewe ni mjinga kabisa. Huna maarifa.
Satellites zipo juu ya anga la Tanzania na dunia nzima na zinachukua picha masaa 24 na huhitaji kibali chochote.
Wewe huna unachojua kabisa. Satellite nazo zinahitaji vibali huwezi kujifanyia tu. Zipo sheria za kimataifa zinazosimamia satellite landing rights. Mleta uzi kauliza swali la msingi sana ila nyie misukule ya Lissu na Mange mnakurupuka kutukana na kujibu msiyoyajua.
 
Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?

Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Mkuu ni nini hii umeandika? Landing right ni kwa vyombo vya usafiri angani vinavyotaka kutua kwenye ardhi yetu.
Kwa Satellite ziko anga za juu ambapo ni Universal space, kila mwenye uwezo kitaaluma anaweza kutundika kionambali chake na kuangaza Dunia ili kuona madudu kama yale ya uchaguzi wa Hangaya. 😲
 
wewe umesoma kweli?Nimekuletea mada kwa nini usichukue muda kugoogle na kujifunza halafu uje kukosoa?
Nakuuliza tena, huko shuleni mlikuwa mnafuta ujinga au mnaongeza ujinga?

International law (specifically The Outer Space Treaty of 1967) established outer space as a "global commons" and allows for the exploration and use of space by all states without discrimination. This means satellites can legally orbit and collect imagery of any country without prior consent.
 
Au akaangalie video za tsunami or anafikiri CNN walikua na camera zao wanarekodi matukio??

Space Haina mtu,hata baharini pia Kuna maeneo hayana mipaka huko ndio watu wanakabwa,uvuvi haramu...

Akili hizi ndio zilifanya magufuli alipokua waziri akamate wachina kwa uvuvi haramu bahari ya hindi,akawapora samaki,akataifisha meli yao,at the end of the day,tukalipa mabilioni kama fidia
 
Mwaka 1998 walipolipua ubalozi wa US Tz na Kenya. uS walikuwa wanasikiliza simu za watu wote bila kujali ni za nani Wala nani. Baadaye wakapunguza diameter ya kusikiliza ikawa Ina kava maeneo yaliyo karibu zaidi na ubalozi wao mpya. Lakini kwa mwenye akili anajua eneo lote la kawe, kinondoni oysterbay na morrocko wansikia kila kitu around hilo eneo. Kwao usalama niuhimu kuliko privacy ya mmakonde na mzaramo.
 
Mkuu mbona bifu lako na Hawa watu kama peseno sana,why 😎
Unakuta huyu ndio kipanga kuliko wote wamemtuma alete huu uzi.

Nina uhakika mna magroup ya UWT, Wazazi na UVCCM, kungekuwa kuna yeyote mwenye akili huko ungeweka hili swali kule labda wangekujibu kabla haujaja kujiabisha humu.

Maana yake mmepostiana huko mkaona ni swali la msingi kabisa ulete humu kama njia ya kuondoa credibility ya report ya CNN.

🚮
 
Wewe huna unachojua kabisa. Satellite nazo zinahitaji vibali huwezi kujifanyia tu. Zipo sheria za kimataifa zinazosimamia satellite landing rights. Mleta uzi kauliza swali la msingi sana ila nyie misukule ya Lissu na Mange mnakurupuka kutukana na kujibu msiyoyajua.
Mkuu satellites zinahitaji landing rights? Unaelewa maana ya landing? Landing ni kutua, satellites zinahitaji haki ya kutua ili iweje? Zinatua kwenye nini wakati satellites zipo angani muda wote? Au unahisi satellites ni ndege?

Pili, satellites zipo maelfu angani muda wote. Sema inahitaji picha ya wapi hapa Tanzania nikuletee
 
Mwaka 1998 walipolipua ubalozi wa US Tz na Kenya. uS walikuwa wanasikiliza simu za watu wote bila kujali ni za nani Wala nani. Baadaye wakapunguza diameter ya kusikiliza ikawa Ina kava maeneo yaliyo karibu zaidi na ubalozi wao mpya. Lakini kwa mwenye akili anajua eneo lote la kawe, kinondoni oysterbay na morrocko wansikia kila kitu around hilo eneo. Kwao usalama niuhimu kuliko privacy ya mmakonde na mzaramo.
Umenikumbusha kuhusu Edward Snowden
 
Mkuu ni nini hii umeandika? Landing right ni kwa vyombo vya usafiri angani vinavyotaka kutua kwenye ardhi yetu.
Kwa Satellite ziko anga za juu ambapo ni Universal space, kila mwenye uwezo kitaaluma anaweza kutundika kionambali chake na kuangaza Dunia ili kuona madudu kama yale ya uchaguzi wa Hangaya. 😲
Haelewi hata landing maana yake nini
 
Wewe huna unachojua kabisa. Satellite nazo zinahitaji vibali huwezi kujifanyia tu. Zipo sheria za kimataifa zinazosimamia satellite landing rights. Mleta uzi kauliza swali la msingi sana ila nyie misukule ya Lissu na Mange mnakurupuka kutukana na kujibu msiyoyajua.
Tuna upungufu wa Great thinkers humu jamvini ...swali langu ni la kimantiki lenye kuhitaji jibu la kina
 
Back
Top Bottom