Landing Rights for satellite launching in Tanzania

Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Wakati ule B-2 Bombers zinafanya usafi Iran, Trump alimwambia Ayatollah kuwa anajua shimo alimojificha, kwani alikuwa amemuomba kibali kabla?

Kuna satellites nyingi zinafanya surveillance dunia yote na kuhifadhi images 24/7. Kama ukiwa unafanya uhalifu mkubwa lazima ubanwe. Hakuna haki ya privacy kwenye uhalifu.

Kama hivi ishajulikana, mkienda kufukua na kuhamisha miili mtashangaa sana, maana ushahidi woote mtaukuta ubaoni
 
Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?

Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Kwani kipindi cha vita Israel na Iran zile video za Satellite zilikuwa na kibali chochote
 
Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?

Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Hiyo ni google satellite siyo ya CCM na inakibari na nchi kubwa wanaweza kuficha CCM ila wakijichanganya CCM na msenge msingwa,muriro kubisha kuna drone zilikuwepo mpaka CNN wametuma kuwa ukweli wanatafuta makaburi haya.
IMG_9085.jpeg
IMG_9086.jpeg
 
Unakuta huyu ndio kipanga kuliko wote wamemtuma alete huu uzi.

Nina uhakika mna magroup ya UWT, Wazazi na UVCCM, kungekuwa kuna yeyote mwenye akili huko ungeweka hili swali kule labda wangekujibu kabla haujaja kujiabisha humu.

Maana yake mmepostiana huko mkaona ni swali la msingi kabisa ulete humu kama njia ya kuondoa credibility ya report ya CNN.

🚮
 
wakaonesha kanisa na drone zao ila hawa samuya wanakazi
 
Unakuta huyu ndio kipanga kuliko wote wamemtuma alete huu uzi.

Nina uhakika mna magroup ya UWT, Wazazi na UVCCM, kungekuwa kuna yeyote mwenye akili huko ungeweka hili swali kule labda wangekujibu kabla haujaja kujiabisha humu.

Maana yake mmepostiana huko mkaona ni swali la msingi kabisa ulete humu kama njia ya kuondoa credibility ya report ya CNN.

🚮
Hajui satellites ni nini, anafikiri satellites ni drones. Hajui kuwa akifungua Google map kile anachokiona ni picha za satellites, hajui kuwa hata anavyotumia bolt au Uber zile ramani ni picha za satellites

Haelewi kabisa satellites ni nini
 
Mmeshamuelemisha bure, now ataenda kifua mbele kuwatambia wenzie since ku-gugo huko kwao ni kosa la jinai.

Kama lisingekuwa kosa angegugo kabla hajaja kujivua nguo hapa. 😅
 
Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?

Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Umesoma? If so, huko shuleni mlikuwa mnajifunza ujinga?
 
Back
Top Bottom