Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,832
- 5,293
Kwamba hujui picha za setilaiti zinapatikanaje?Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??