NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,772
- 4,964
Mtafute mwanasheria mkuu kilaza wa serikali na DPP mkafungue kesi kwenye mahakama za kimataifa.Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??