Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 103
- 130
A dream car,,,,,,all weather,,,,all businesses
Hii ni Mashine.A dream car,,,,,,all weather,,,,all businesses View attachment 673055 View attachment 673056 View attachment 673057 View attachment 673059
Heavy duty kwa maana ya ukubwa wa injini au?Nilizipenda sana hizi kipindi chake ila siku hizi nafagilia sana heavy duty Landcruiser 200-V8 ya 2012..
Engine perfomance na durability..Heavy duty kwa maana ya ukubwa wa injini au?
Useme labda performance , huwezi ukawa na jibu la durability wakati engine ya 1vd haina hata miaka kumi,Engine perfomance na durability..
HUWA NAPENDA SANA mtu akiongea kwa fact kama hivi,ubarikiwe sanaUseme labda performance , huwezi ukawa na jibu la durability wakati engine ya 1vd haina hata miaka kumi,
Note , ilimewachukua watu miaka 40 kuprove 14 litres scania kuwa ni best engine ever made. In terms of performance and duability.
A dream car,,,,,,all weather,,,,all businesses View attachment 673055 View attachment 673056 View attachment 673057 View attachment 673059
kwa mfano ikiwa ya diesel kwa litre 1 inaweza kwenda km ngapi?View attachment 673060 Safi mkuu ila models kuanzia 2015 ndio balaa kwa mtazamo wangu.
Asante kwa credit mkuu, pamojaHUWA NAPENDA SANA mtu akiongea kwa fact kama hivi,ubarikiwe sana
Aiseee we jamaa no mkorofiWatu wakituma picha kama hizi watu wenye vigari vidogo dogo hulazimika kuvifunika maturubai wakiulizwa wamefunika nini wanasema magunia ya mahindi
I love this car, but Diesel!
Utofauti wa yenye kutumia diesel na petrol ni nini kwa hizi mashine?I love this car, but Diesel!
Nimecheka saana man,,,,,,,kiukweli kama uwezo unakuwepo....haya ndiyo magari yenye uwakika saana hasa katika shughuri zetu kiafrika....Watu wakituma picha kama hizi watu wenye vigari vidogo dogo hulazimika kuvifunika maturubai wakiulizwa wamefunika nini wanasema magunia ya mahindi