Landcruiser 80 generation, Gasoline/Petrol ni ugonjwa wa moyo!

Nakodi hapo au kodi inakuwa bado?
Wabongo bhana na tumaswali twao
Hapana kodi utapambana na TRA hyo ni bei ya gari

sijawahi ipenda land cruiser yoyote my love is for nissan patrol and chev

Mpya au used?

Can u share?

Thanks

5d331a42bf07343e4611c9819ab93664.jpg

Mpya kutoka south Africa ukihitaji unachanganyiwa kwenye order za magari ya mbugani yanayoingia nchini hapa inakuwa nafuu

Gari ninayoahangaika kuipata ni land rover defender tdi itanifaa sana kwa safari zangu za porini.
befoward hizi gari hawana kbs

Ingia trade caview, utaziona zipo.

SHIMBA YA BUYENZE
hazitengenezwi tena zilishapita labda kama utataka special order


Nilizipenda sana hizi kipindi chake ila siku hizi nafagilia sana heavy duty Landcruiser 200-V8 ya 2012..

Heavy duty kwa maana ya ukubwa wa injini au?

Nayaona tuu magari kwa humu,

Hii imepita mbaaali sana na maisha ua zama hizi za vyuma.
 
Watu wakituma picha kama hizi watu wenye vigari vidogo dogo hulazimika kuvifunika maturubai wakiulizwa wamefunika nini wanasema magunia ya mahindi
Utawasikia wakizungumza wese linakunywa!
 
Back
Top Bottom