Lamomy is back

Status
Not open for further replies.
Halafu ni kila mwaka nawashikisha adabu basi tu hili balo jipya nalo linajaribu jaribu [emoji81][emoji81][emoji81]
Na washaanza kukaa kwenye line..!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inategemea na ntu na ntu.

Wewe mtazamo wako ndio huo,

You are entitled to your opinion.
Hiyo ni hali halisi vifo na utekaji sio mitazamo ya watu tu! Ni ukiukwaji wa haki za binadamu.

Na hayo yote yametokea veggies mkiwa mmeshikilia nchi na hamchukui hatua yoyote.
 
Hiyo ni hali halisi vifo na utekaji sio mitazamo ya watu tu! Ni ukiukwaji wa haki za binadamu.

Na hayo yote yametokea veggies mkiwa mmeshikilia nchi na hamchukui hatua yoyote.
Upinzani wamejaa wahuni tupu hakuna wa kumuachia hazina pale utaikuta tupu baada ya wiki tu.

Trust me.

CCM ni bora mara elfu kuliko huko uliko.
 
Mods waache zao bana kwanza wanirudishe selfika nataka kutupia picha [emoji81][emoji81][emoji81]
Mie wameni Ban pia, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sijui modes wanakwama wapii? Uzi wenyewe bila sie unadodaa. Lol
 
Umekosa uondo pic imefutwa, yani nimepigwa shocked sikutegemea ila watani zangu wasukuma bana wananipa burudani sana..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Hukusave mahi? Masijala hukuweka jamaniii?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pacha una zingua kinoma 😅😂
 
Upinzani wamejaa wahuni tupu hakuna wa kumuachia hazina pale utaikuta tupu baada ya wiki tu.

Trust me.

CCM ni bora mara elfu kuliko huko uliko.
Mimi sipo kokote ila nasimama na wenye mapenzi mema na nchi yetu..!!

Waacheni hao wapinzani ili nao tuwapime wananchi msiwasemee sababu ni wapinzani wenu..!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…