Lamomy is back

Status
Not open for further replies.
sijawahi kujua this side of you🤣🤣🤣🤣🤣
unaiweza shengesha aiseee
nilijua mboga saba....watakushika sharubu
au coca ndo kakuchachusha au hapa jukwaani tunapishana sana🥹
 
sijawahi kujua this side of you🤣🤣🤣🤣🤣
unaiweza shengesha aiseee
nilijua mboga saba....watakushika sharubu
au coca ndo kakuchachusha au hapa jukwaani tunapishana sana🥹
😹😹😹
Nishinde kkoo na wazaramo nisiliweze shengesha? Nimezaliwa Amana nimekulia cha ukucha, sikuja mjini na fusso wala mbio za mwenge…!!

Thubutuuu sijaona chizi wowote wa kunishika sharubu, mi ndo mganga wao nawapunga mapepo wote hapa jukwaani..!!
 
Tutaachaje kupewa Ban, na ndio komesho la Waja wa JF.
Yaan mie BAN nishazoea, najionea kawaida tu.
Udugu nilikumiss 😘
Ile siku tulipewa ban wote chezea sisi wewe..!!
Na jana nimewapelekea moto huko selfika mpk mods wamenipa ban kule..!!

Basi machogo yanajua yameniweza yanashinda yanabweka na milapulapu yao ya afu 3 hafu yalivyo maoga nasikia picha yamefuta 😹😹😹😹

Sasa kama huumii kwanini ufute picha ya top jomoooniii…!! Toka JF iumbwe na uzi wa selfika uwekwe kwa mara ya kwanza tumejionea dhambi ya fashooooooniiii 🤸‍♀️😹😹😹

Halafu humu kuna watu wanatuzeesha kutuita dada dada banah kumbe ni mashangazi zetu yani hawapishani kabisaa na umri wa baba zetu..!! Ukimix na mitopu yao basi akhaaa wagombania uhuru wa Afro Shiraz 😹😹😹😹
 
hahhahah
watakutafuta wakudunde
huogopi???
au na vitasa upo vizuri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…