Laki tano tu unaweza badilisha historia

Laki tano tu unaweza badilisha historia

Mafanikio ya mwanadamu ni mchakato unaohitaji....KUJITUMA NA NIDHAMU YA HALI YA JUU.....
NIDHAMU NDIO MSINGI WA MAFANIKIO YA KILA KITU NA KUJITUMA.....UNATAKIWA UWE NA NIDHAMU KATIKA KUUTUMIA MUDA WAKO....UNATAKIWA UWE NA NIDHAMU KATIKA KUTUMIA KIPATO CHAKO VYEMA....

VIJANA WENGI WA MIJINI KAMA HAWATABADILIKA NA KUBADILI STYLE YA MIASHA YAO NA JINSI WANAVYOYACHUKULIA MAISHA DAIMA WATABAKI KUWA WATAZAMAJI WA MAFANIKIO YA WATU WENGINE.....

KWA UCHUNGUZI MDOGO NILIOUFANYA NIMEGUNDUA KUWA VIJANA WENGI WA MJINI HAWANA NIDHAMU KABISA KATIKA MFUMO MZIMA WA MAISHA YAO...YAANI WANAISHI KWA SABABU WAPO HAI.....

VIJANA WENGI WENGI BADO WANAISHI MAISHA YA KUFIKIRIKA....WENGI BADO WANADHANI KUWA MAFANIKIO NI KITU KINACHOZUKA TU KAMA BOMU........
WANADHANI KUWA MAFANIKIO YA MTU NI KUDRA TU ZA MWENYEZI MUNGU BILA YA JUHUDI.....HAWAJITUMI WALA KUHESHIMU VIPATO VYAO.......

NI AINA YA MAISHA AMBAYO HAYANA MBELE WALA NYUMA.....


Wape dawa hao mkuu,yaan asilimia 90 ya walio changia hii mada wamebisha kuwa mtu hawez kufanikiwa ktk hizo shughuli zilizo mtoa masanja.asa nkajiuliza,nifanye kaz ipi ya kuniongezea kipato? na ambayo haina changamoto? Je,maisha ya watu jamii ya akina Masanja mm siwez kuyaish? kumbuka mshahara wang ni laki nne na nusu.Hakika hii nchi ina vijana wengi wenye mawazo mgando.na kwa hakika tutabaki tu kushuhudia mafanikio ya wenzetu,,yaan hata kumilik nyumba tu,kijana anasubiria astaafu kwanza ndipo ile pension ya uzeeni itumike kujengea
 
siyo kulima tu mkuu kazungumzia na kuuza maji. point yake ni kuwa tuwekeze kidogo tunachopata badala ya kuendekeza starehe.
 
Nenda na laki tano yako uone kama hukurud mjini kwa miguu!!! Aache kudanganya watu. Kama ni kilimo cha biashara lazima uwe na mtaji wa kutosha baada ya kupiga hesabu za kuanzia kukodi shamba, kulipa wafanyakazi, pembejeo mpk kuvuna
na wakati wa kufanya haya yote hutakiwi kuacha kazi yako, la sivyo utalia..masanja nina wasi wasi anauza poda huyu ..anajishembedua tu ili watu waamini kuwa ni kilimo..kama analima na mm nilime sasa kwa nini mazao yake yeye tu ndio yakue na yawe mazuri? au tz nzima analima yeye tu? wakulima wangapi wapo mashambani?
akili kichwani huyu jamaa akifuatiliwa ni jibpu na anajifanya kuwa ni pastor ...ili kuficha yaliyopo nyuma..
 
watu wote wanapenda kutajirika na kuwa na maisha mazuri lakini siyo kazi rahisi kama anavyofikiria. Je,ukienda kulima kilimo cha matiki maji au maharage alafu mabadiliko ya hali ya hewa yakakuadhiri? Je,bank teller akienda kijijini kulima,huduma za kibenki mtazipatia wapi na nani atawahudumia na kuwatunzia hela zenu?
Je,unadhani kwamba bank teller ndo mwenye kipato kidogo kuliko wote? kwa nini asingewaambia wasaidizi wa ndani wapige kazi kwa miezi kadhaa kisha wakishapata hiyo laki tano warudi kijijini wakalime?
Ukweli ni kwamba wote tunategemeana na itabaki kuwa hivyo.
anawadharau bank tellers na wote wenye kipato cha chini paipo kujua kuwa hata matajiri wakubwa zaid yake pia wanamcheka yeye.
Huyu jamaa ni pumbavu....tena pumbavu haswaa, baada ya msoto na maisha ya shida alopitiia alijitoa mhanga kwenye ile biashara ya ubebaji wa unga..

sasa ya kupata pesa, ameanza kudharau watu...aache ujinga bhana...hata kama ni laki tano watu wanaishi na familia mjini...au anafikiri yeye pekee ndo mwenye akili ya kuwaza hayo na wengine hawjui kama kilimo kinaendaje?,,,
pumbavu!!!!!!
 
siyo kulima tu mkuu kazungumzia na kuuza maji. point yake ni kuwa tuwekeze kidogo tunachopata badala ya kuendekeza starehe.
malkia wa nguvu sio?..nchi yoyote lazima kuwe na inequality...haiwezekani kila mtu anunue bmw haiwezekani lazima kuwe na maskini hata japani kuna maskini ambao hawana magari ila magari yanauzwa hadi dola mina tisa lakini mjapani anashindwa ....yeye ashukuru Mungu basi...na atoe elimu isiyo na majivuno hapoo watu watamsikiliza ila akileta mashauzi wabongo ni watu wasiotaka mashauzi watamchukia na atajuta..wabongoo sio watu wazuri ..kama haamini aende akamuulize mtoto wa Odinga
 
malkia wa nguvu sio?..nchi yoyote lazima kuwe na inequality...haiwezekani kila mtu anunue bmw haiwezekani lazima kuwe na maskini hata japani kuna maskini ambao hawana magari ila magari yanauzwa hadi dola mina tisa lakini mjapani anashindwa ....yeye ashukuru Mungu basi...na atoe elimu isiyo na majivuno hapoo watu watamsikiliza ila akileta mashauzi wabongo ni watu wasiotaka mashauzi watamchukia na atajuta..wabongoo sio watu wazuri ..kama haamini aende akamuulize mtoto wa Odinga
kumbuka pia jamaa ni comedian. siyo majivuno ni satire.
 
Masanja yupo sahihi, vijana wa mjn acheni kuuza sura na ku-act maisha
 
Maisha si rahisi kama ambavyo masanja ameeleza. Ila kuhusu watu kupenda anasa wakati pesa haitoshi nakubaliana naye.
 
Ukweli gani hapo??? aache sifa za kijinga,
Ukweli ni kwamba vijana itabidi wajiongeze katika shughuli za kuwaingizia kipato wasitegemee mshahara pekee. Hii haiwahusu bank tellers pekee ni kwa waajiriwa wote.
 
Back
Top Bottom