Laki moja yangu inaniuma sana, hata asante sijapewa

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,059
Jamani mimi nadhani mapenzi na warembo wa kitanzania yamenishinda. Nimemtumia mrembo laki moja nzima kwenye M-pesa yake, lakini yeye hata kujishaua tu kusema baby asante ya kinafiki hakuna.

Nimepiga Vodacom huduma kwa wateja nikawadanganya nimeituma kimakosa wanirudishie pesa yangu ila naona imeshindikana.

Hivi warembo wote wa hii nchi wako kama huyu?
 
Jamani,me nadhani mapenz na warembo wa kitanzania yamenishndwa,nimemtumia mrembo laki moja nzima kwenye m pesa yake,lakin yeye hata kujishaua tu kusema baby asante ya kinafiki hakuna!nimepiga voda huduma kwa wateja nikawadanganya nimeituma kimakosa wanirudishie pesa yangu ila naona imeshndkana.hvi warembo wote wa hii nchi wako kama huyu?
kunabaadhi ya mabint ni majipu na mmoja wao ni uyo
 
Wewee mtoto wewebona kutuchosha asbuh??
~Ni nan aliwambia ukimpa mwanamke pesa ndo atakupenda??kumbuka mapenzi si pesa ni utu wa ndan ya mtu pesa huja baadae sana.

~pia kuwa na subira kwan umeambiwa ni malaika huyoo??yumkin nae huwa hawez kushukuru yan si mtuwashukuran.

~haya unataka kukimbia tzeee uende wap?kwa bhasungu wakakudanganya hawana matatizo???

~Jaribu kuwa na kifua bwana mwanaume anasifika kwa kifua na kusitir mambo. una ulala mishi mno mpaka tumejua umetoa kg

~mmhhm jaman shule nazo zifungue
 
Umekosea sana!
Tuma kwanza buku 5,akipokea bila kusema asante unamkaushia
 
Jamani,me nadhani mapenz na warembo wa kitanzania yamenishndwa,nimemtumia mrembo laki moja nzima kwenye m pesa yake,lakin yeye hata kujishaua tu kusema baby asante ya kinafiki hakuna!nimepiga voda huduma kwa wateja nikawadanganya nimeituma kimakosa wanirudishie pesa yangu ila naona imeshndkana.hvi warembo wote wa hii nchi wako kama huyu?
Kwani we ukimaliza kwich kwich huwa unasema AHSANTE?
 
Wewee mtoto wewebona kutuchosha asbuh??
~Ni nan aliwambia ukimpa mwanamke pesa ndo atakupenda??kumbuka mapenzi si pesa ni utu wa ndan ya mtu pesa huja baadae sana.

~pia kuwa na subira kwan umeambiwa ni malaika huyoo??yumkin nae huwa hawez kushukuru yan si mtuwashukuran.

~haya unataka kukimbia tzeee uende wap?kwa bhasungu wakakudanganya hawana matatizo???

~Jaribu kuwa na kifua bwana mwanaume anasifika kwa kifua na kusitir mambo. una ulala mishi mno mpaka tumejua umetoa kg

~mmhhm jaman shule nazo zifungue
Umeelewa alichoongea? Au unatokwa na povu tu?
 
Back
Top Bottom