Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
View attachment 3284039

1. Yahaya

2. Siwema

3. Usiusemee Moyo

4. I Dont Care

5. Siri Yangu

6. Machozi Ya Furaha

7. Wanaume Kama Mabinti

8. Umuhimu Wako

9. Understanding

10. Faraja

11. Pumziko

12. Usikatae

13. Machozi

14. Nimekusamehe

15. I Love Myself

16. Mawazo

17. Siwema usinipe mateso ya moyo
View attachment 3284039

Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa ✍️
Ndindi ndi umeisahau
 
Hamfuati masharti yake!
 
Ana matatizo ya kisaikolojia ya kutoka utotoni.

Kuna wakati alikuwa ananichekeachekea ananiweka kwenye timing zake, ila mimi nilikuwa nampigia mahesabu rafiki yake Seven...
Mkuu umesomea CUBA 🇨🇺
 
You cannot sing what you don't think

Jay Dee anaimba alichokipitia. Kuna mtu aliyesoma nae O level pale kinondoni, anasema ilikuwa jambo la kawaida kutoonekana darasani hata miezi 2, akionekana darasani sura na mwili vimechakaa vibaya sana
Inaonekana kuna mapito alipita makubwa sana
 
Mh! hivi wimbo wa mawazo hapo umefata nini, yahaya haihusu mapenzi, siwema ni aliirudia tu ni wimbo wa kitambo!, faraja nayo itoe hapo huo wimbo umegusa angle nyingi not about love!.
Hata pumziko na umuhimu wako sio za kusema wanaaume!
Watu wa namna hii wanameza tu story za vijiweni!
 
You cannot sing what you don't think

Jay Dee anaimba alichokipitia. Kuna mtu aliyesoma nae O level pale kinondoni, anasema ilikuwa jambo la kawaida kutoonekana darasani hata miezi 2, akionekana darasani sura na mwili vimechakaa vibaya sana
Inaonekana kuna mapito alipita makubwa sana
Ohh 😔
 
Huo wimbo wa wanaume kama mabinti aliwajibu wale jamaa waliomba tunakula kula na kuvaa siku zinaeeenda kila siku tujirusha, wimbo ambao maudhui ya video unaonesha jinsi wanaume wanavyolelewa na wanawake wenye Mali. Ndiyo chanzo cha yeye kuimba huo wimbo wa wanaume kama mabinti ambao alimshirikisha FA

Tukija wimbo wa Yahya huo wimbo inasemekana lilikua dongo kwa marehemu Ruge yaani alijaribu kuelezea mfumo wa maisha ya Ruge. Ndiyo maana kuna verse anasema maskani yako Kinondoni nyumba namba haijulikani Yahya eeeh

nakweli Ruge alikua akitoka pale mikocheni clouds alikua anakwenda kuchili THT kinondoni......
Wewe umechanganya mafaili, Jide ndo alianza hao Ngoni Tribe wakaja kumjibu.
 
Huu wimbo all copy kwa marehemu Marijani Rajabu hivyo ni vyema kuweka wazi ili wasiojua wapate kujua kwamba lady JD hakutunga yeye huu wimbo wa Siwema
Kuna Mkuu amepata kuelezea vyema mwanzoni kabsa! Ila Bi Mkubwa aliufanyia cover kipindi ambacho Captain G alikuwa akimvuruga bibiye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom