wanaonea gere wenye maumbo yao ndo maana vina hasiraKwa mwanamke mwembamba hiyo ni kawaida,so inabidi uishi naye kwa kumchukulia.
Uyo dada anajielewa hawez kugongwa na malayaMarehemu ruge ilikuwa ndio pisi yake na ndio hivo hivo ruge alifanya kwa nandi.
Ila wazazi wa ruge walikuwa hawataki mtoto wao kuoa wasanii
Tulio kalibu na ukoo huo embu tuliza redio yako ya wasafi FmUyo dada anajielewa hawez kugongwa na malaya
Ana mkapa unamjua unamsikia! Alishawahi kumetegua Ben mguuHadi jamaa akawa chapombe wa kutisha ..wanawake Hawa wa sasahivi ni manyani tu kumamakeh...Ile cream ya wazee wetu akina mama tibaijuka akina mama ana mkapa, haitarud tena..
Nakataa bossTulio kalibu na ukoo huo embu tuliza redio yako ya wasafi Fm
Anna ni master kwanza alizaa na wanaume wawili na akawafanya wawe washkaji Uncle Ben akampa Mramba uwaziri wa fedha na jamaa alikuwa na kiburi balaa. Hakunaga wanawake wa maana tunawakalia kimya tu.Ana mkapa unamjua unamsikia! Alishawahi kumetegua Ben mguu
Alikuwa Yahayakuna ndugu yangu kibosile aliwahi ku date naye kwa siri anasema jide ana gubu na amri. kiufupi mtata mtata.
Duuh hii code ni nzito sanaAnna ni master kwanza alizaa na wanaume wawili na akawafanya wawe washkaji Uncle Ben akampa Mramba uwaziri wa fedha na jamaa alikuwa na kiburi balaa. Hakunaga wanawake wa maana tunawakalia kimya tu.
Huyo Jide nae analikaga kirahisi hamjui tu, we jifanye mtu wa kutulia pendelea kukaa pale Nyumbani lounge ukiweza kumpa wine zake kila siku ukikaa kimkakati unajilia tu sema amekauka sana halafu kabaya inahitaji utumiejina lake tu kwamba umekula jina la msanii.
Mkurya anakosaje utata wakati imeandikwa vita ni vita mulakuna ndugu yangu kibosile aliwahi ku date naye kwa siri anasema jide ana gubu na amri. kiufupi mtata mtata.
Lady Jadee Judith Wambura ni muathirika wa mapenzi. Bado anayasaka na hajayapata. Akiyapta atatulia.Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
View attachment 3284039
1. Yahaya
2. Siwema
3. Usiusemee Moyo
4. I Dont Care
5. Siri Yangu
6. Machozi Ya Furaha
7. Wanaume Kama Mabinti
8. Umuhimu Wako
9. Understanding
10. Faraja
11. Pumziko
12. Usikatae
13. Machozi
14. Nimekusamehe
15. I Love Myself
16. Mawazo
17. Siwema usinipe mateso ya moyo
View attachment 3284039
Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa ✍️