Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
View attachment 3284039

1. Yahaya

2. Siwema

3. Usiusemee Moyo

4. I Dont Care

5. Siri Yangu

6. Machozi Ya Furaha

7. Wanaume Kama Mabinti

8. Umuhimu Wako

9. Understanding

10. Faraja

11. Pumziko

12. Usikatae

13. Machozi

14. Nimekusamehe

15. I Love Myself

16. Mawazo

17. Siwema usinipe mateso ya moyo
View attachment 3284039

Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa ✍️
Hiyo namba moja alinisema mpaka nikasema siku tukionana lazima nimuoe maana nahisi hana mme
 
Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
View attachment 3284039

1. Yahaya

2. Siwema

3. Usiusemee Moyo

4. I Dont Care

5. Siri Yangu

6. Machozi Ya Furaha

7. Wanaume Kama Mabinti

8. Umuhimu Wako

9. Understanding

10. Faraja

11. Pumziko

12. Usikatae

13. Machozi

14. Nimekusamehe

15. I Love Myself

16. Mawazo

17. Siwema usinipe mateso ya moyo
View attachment 3284039

Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa ✍️
Aendelee kuwaongelea tu maana "Mudomo" ni mali yake na kila akiuza hayo maneno/muziki serikali inapata kodi.
 
Hivi ni kwamba hakuna wasanii wa kiume, wanaoimba nyimbo za kuwatukana na kuwadhalilisha wanawake, au hao ndio wanaonekana wako sawa vichwani mwao
Kwahiyo, wewe unaona uwepo wa hao uliwataja ndo unahalalisha Judith Wambura kuimba nyimbo za kuwasema wanaume??
 
Kwahiyo, wewe unaona uwepo wa hao uliwataja ndo unahalalisha Judith Wambura kuimba nyimbo za kuwasema wanaume??
Hapana hoja yangu ni kwamba tuache unafiki wa kukemea maovu ya upande mmoja na kuacha upande mwingine, ili uonekane una nia ya kukosoa uovu ni lazima uwe fair usiwe na biasness ya aina yoyote ile vinginevyo utaonekana mnafiki na hakuna atakayekusikiliza, haya mambo ya kusema eti kosa moja halihalalishi kosa lingine ndio yanafanya watu fulani wanajiona wana haki ya kufanya maovu kwa kutumia hiko kisingizio
 
Anaonekana tu, kuna dada mmoja ni mtu wangu wa karibu yupo km jide full amri na kupelekesha mume, na sura ni ya kiume hivyo hivyo, mumewe mzuri km demu ana hadi hips 😄
Ila wee demu mwanga sana wewe unaonekana. Mchana namba za Njano, Usiku number nyeupe.
 
Huyu alikuwa ajapata vijana wa ovyo wa kuichapa kisawa sawa ndio maana alikuwa na gubu sana
 
Akamshirikishaga Hamis Mwinyijuma, kipindi hicho anajitafuta… baadae akamnunia 😂 wakapatanishwa na dinner ya Mzee J.K Jumbe jeupe na mageti meusi. Ila ka-F.A kipindi kanatafuta maisha kalikuwa kachawa chawa sana nako 😂
Ile dinner haikufanya chochote zaidi ya kumtibua zaidi Mheshimiwa FA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom