Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

Nyimbo zake kweli zinawakandia sana wanaume, ana gubu na wanaume. Au kuna kitu Gardner alimfanya mama wa watu hadi akawa bitter na sisi.
Lakini nyimbo nyingi alitoa hata bado hajawa na Gadner na alitukandia haswa haswa ukizisikiliza.

Nasema hivyo kwa sababu wimbo wa "Distance" ambao kamtaja kabisa marehemu Gadner upo kwenye album ya "Moto" ambayo ilitoka mwaka 2005. Kabla ya hiyo album tayari alikuwa na album 2 nyuma.

labda kama marehemu Gadner alitonesha kidonda tena.
 
Kwa Bibiye Judy nadhani sio tu Ruge na Uncle G nadhani kuna wengi walikuwa wakionja na kukimbia! Wapo wengi wanasema Judy ni jeuri balaa haswa akiwa ameshapiga mbili tatu
 
Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
View attachment 3284039

1. Yahaya

2. Siwema

3. Usiusemee Moyo

4. I Dont Care

5. Siri Yangu

6. Machozi Ya Furaha

7. Wanaume Kama Mabinti

8. Umuhimu Wako

9. Understanding

10. Faraja

11. Pumziko

12. Usikatae

13. Machozi

14. Nimekusamehe

15. I Love Myself

16. Mawazo

17. Siwema usinipe mateso ya moyo
View attachment 3284039

Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa ✍️
Binti machozi.
 
W
Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za
Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
View attachment 3284039

1. Yahaya

2. Siwema

3. Usiusemee Moyo

4. I Dont Care

5. Siri Yangu

6. Machozi Ya Furaha

7. Wanaume Kama Mabinti

8. Umuhimu Wako

9. Understanding

10. Faraja

11. Pumziko

12. Usikatae

13. Machozi

14. Nimekusamehe

15. I Love Myself

16. Mawazo

17. Siwema usinipe mateso ya moyo
View attachment 3284039

Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa ✍️
Wanaume ndo walio mzaa, walio mpa jina na ndo walio mwonesha dunia ipoje...kimsingi hana budi kuwataja kila sehemu maana ndo watakao beba ad jeneza lake, kumcimbia kaburi na kumzika (kufukiaaaa)
 
Hapo sasa 😃 😀 😄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom