Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,204
Reaction score
10,719
Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
images - 2025-03-26T185234.085.jpeg

1. Yahaya

2. Siwema

3. Usiusemee Moyo

4. I Dont Care

5. Siri Yangu

6. Machozi Ya Furaha

7. Wanaume Kama Mabinti

8. Umuhimu Wako

9. Understanding

10. Faraja

11. Pumziko

12. Usikatae

13. Machozi

14. Nimekusamehe

15. I Love Myself

16. Mawazo

17. Siwema usinipe mateso ya moyo
images - 2025-03-26T185234.085.jpeg

Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa ✍️
 
Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
View attachment 3284039

1. Yahaya

2. Siwema

3. Usiusemee Moyo

4. I Dont Care

5. Siri Yangu

6. Machozi Ya Furaha

7. Wanaume Kama Mabinti

8. Umuhimu Wako

9. Understanding

10. Faraja

11. Pumziko

12. Usikatae

13. Machozi

14. Nimekusamehe

15. I Love Myself

16. Mawazo

17. Siwema usinipe mateso ya moyo
View attachment 3284039

Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa ✍️
Wanafanya wanaenda wanamuacha analia na moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom