Hizi zote alimuimbia mrehemu.Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa;
View attachment 3284039
1. Yahaya
2. Siwema
3. Usiusemee Moyo
4. I Dont Care
5. Siri Yangu
6. Machozi Ya Furaha
7. Wanaume Kama Mabinti
8. Umuhimu Wako
9. Understanding
10. Faraja
11. Pumziko
12. Usikatae
13. Machozi
14. Nimekusamehe
15. I Love Myself
16. Mawazo
17. Siwema usinipe mateso ya moyo
View attachment 3284039
Na nyingine nyingi ambazo nimezisahau hivi wanaume tulimkosea nini huyu bi mkubwa ✍️
Jd taratibu SasaHivi ni kwamba hakuna wasanii wa kiume, wanaoimba nyimbo za kuwatukana na kuwadhalilisha wanawake, au hao wanaonekana wako sawa vichwani mwao
Duh ndio mana hata kupiga utakua haupigi kwa amani mana ni maneno na kelele tu wanawake wa hivi ni washenzi tukuna ndugu yangu kibosile aliwahi ku date naye kwa siri anasema jide ana gubu na amri. kiufupi mtata mtata.
Mmeshafanya conclusion. Mlishaongea naye akawathibitishia? Na would you say the same statement kwa dada yako?Hiyo nayo hoja mkuu 😃 ila je yeye uterus ipo vizuri! Ajiulize kwanza!
Hadi jamaa akawa chapombe wa kutisha ..wanawake Hawa wa sasahivi ni manyani tu kumamakeh...Ile cream ya wazee wetu akina mama tibaijuka akina mama ana mkapa, haitarud tena..Gadner ndo alimvuruga balaa
Yes ile skendo ya SauziRuge!??
Hongera sana gentleman. Endelea na moyo huohuo.Ndio ninaweza Mkuu!
Kwa mwanamke mwembamba hiyo ni kawaida,so inabidi uishi naye kwa kumchukulia.kuna ndugu yangu kibosile aliwahi ku date naye kwa siri anasema jide ana gubu na amri. kiufupi mtata mtata.