Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,843
- 156,270
Nimekwepa mengi mpaka kufika hapa.Mkuu umesomea CUBA 🇨🇺
Ziie nyimbo inawezekana ningetungiwa mimi 😂😂😂
Nimekwepa mengi mpaka kufika hapa.Mkuu umesomea CUBA 🇨🇺
Hakuchinja Mkuu?Ana matatizo ya kisaikolojia ya kutoka utotoni.
Kuna wakati alikuwa ananichekeachekea ananiweka kwenye timing zake, ila mimi nilikuwa nampigia mahesabu rafiki yake Seven...
Ruge hawezi kuwa Yahaya kwakuwa Ruge mpaka anakufa he was the richest manHuo wimbo wa wanaume kama mabinti aliwajibu wale jamaa waliomba tunakula kula na kuvaa siku zinaeeenda kila siku tujirusha, wimbo ambao maudhui ya video unaonesha jinsi wanaume wanavyolelewa na wanawake wenye Mali. Ndiyo chanzo cha yeye kuimba huo wimbo wa wanaume kama mabinti ambao alimshirikisha FA
Tukija wimbo wa Yahya huo wimbo inasemekana lilikua dongo kwa marehemu Ruge yaani alijaribu kuelezea mfumo wa maisha ya Ruge. Ndiyo maana kuna verse anasema maskani yako Kinondoni nyumba namba haijulikani Yahya eeeh
nakweli Ruge alikua akitoka pale mikocheni clouds alikua anakwenda kuchili THT kinondoni......
Aah ,wapi. Nilikuwa nammendea Seven, halafu Seven naye akachukuliwa na rafiki yangu. Mimi nilikuwa busy sana na mambo yangu.Hakuchinja Mkuu?
Yeye alikua hagombanii mziki alikua anagombea mapenzi.Vita mpaka kwenye muziki aisee 😃
Yeye alikua hagombanii mziki alikua anagombea mapenzi.Vita mpaka kwenye muziki aisee 😃
Ni kweli kabisa 🤣Kuna Mkuu amepata kuelezea vyema mwanzoni kabsa! Ila Bi Mkubwa aliufanyia cover kipindi ambacho Captain G alikuwa akimvuruga bibiye
Mama wa watu kivipi tena wakati hana mtotoNyimbo zake kweli zinawakandia sana wanaume, ana gubu na wanaume. Au kuna kitu Gardner alimfanya mama wa watu hadi akawa bitter na sisi.
Sawa sikatai ila mfumo wa maisha yake ilitosha kabisa kuitwa Yahya kwani hakuwahi kuishi na familia ya mke na mume na watoto ndiyo maana Komando alimtungia wimbo wa Yahya ingawa Jaydee alipoohojiwa alisema idea ya wimbo huo alichukua kwenye wimbo wa KalubandikaRuge hawezi kuwa Yahaya kwakuwa Ruge mpaka anakufa he was the richest man
Anaonekana tu, kuna dada mmoja ni mtu wangu wa karibu yupo km jide full amri na kupelekesha mume, na sura ni ya kiume hivyo hivyo, mumewe mzuri km demu ana hadi hips 😄kuna ndugu yangu kibosile aliwahi ku date naye kwa siri anasema jide ana gubu na amri. kiufupi mtata mtata.
Mkurya huyo ni kawaida halafu pia miaka hiyo alikuwa anapitia changamoto ya kukosa mtoto umri ukiwa unasonga lazima mwanamke awe hivyokuna ndugu yangu kibosile aliwahi ku date naye kwa siri anasema jide ana gubu na amri. kiufupi mtata mtata.