Dua la kuku...Jide namba nyingine sio type yenu yuleHuyo asikupotezee muda huwa ni shost yake jide.... ndo wanaozidi kumpoteza jide.... wimbo kawaida saaaana ila hiyo promo ya mashost ndo utachoka.... nafuu hata ujio wa Ally Kiba na mwana ulikua poa kuliko huu upuuzi wa nti nti nti...sijui ndo upuuzi gani.... nina hakika huu wimbo utasanda ndani ya miezi miwili.
imba na wewe tukuone kumamayo mchawi mkubwa wewe...utaishia kuwanga tu na bado......
Nilijua anakuja kumuweka ktk target na kumfocus Yemi Alade ambaye ameshaiteka East Africa na kiswahili. Amekuja tofauti kabisa. hii ngoma wala haifiki Kenya....
Mimi ni shabiki mkubwa wa Jide ila hii aimwachi salama. Watu wameitafsri kama dharau.
Huna hoja.imba na wewe tukuone kumamayo mchawi mkubwa wewe...utaishia kuwanga tu na bado
Yani im very disappointed in Jide. Mziki wa bongo flavor umefika mbali sana. Mipasho amuachie Neema ambae tulishamzoea.Nyimbo haina kichwa wala mguu...eti chizi hua haponi ..sijui mirembe nakushusha....!!?!?!?!?!....ndo umeamka tena haaaa haaaa haaa kazi kweli kweli[emoji15] [emoji15]
Na hichi ndicho wapambe wake wanachokosea wako busy kulazimisha watu waamini nyimbo nzuri baada ya kuacha watu wasikilize na waone nyimbo kama nzuri....mna kazi sana kumsimamisha huyo dada yenuHuna hoja.
Am sure Gadna kupitia Efm ataupa airtime ya kutoshaYaah nyimbo ninzuri ipate airtime tu
Kwa haya matusi una kila sababu ya kuwa shabiki yake jide maana ndege wafananao huruka pamoja.... ila ikweli ni kuwa promo ni kubwa luliko wimbo wenyewe... nakupa miezi miwili huu wimbo utakua kapuni..... haujafika hata nusu ya forever....imba na wewe tukuone kumamayo mchawi mkubwa wewe...utaishia kuwanga tu na bado
hawa wana kazi maalumu humu ndani(jamii forum)tazama hizi id tunazohangaika nazo kuwaambia ukweli wamejiunga lini ndo utajua....Kwa haya matusi una kila sababu ya kuwa shabiki yake jide maana ndege wafananao huruka pamoja.... ila ikweli ni kuwa promo ni kubwa luliko wimbo wenyewe... nakupa miezi miwili huu wimbo utakua kapuni..... haujafika hata nusu ya forever....
wimbo mbovu kabisa lady jd hawezi mziki wa sasa awaachie kina vannessa mdee abaki kama mshauri tuu fully stop.Nilijua ni Biashara tu...kila mtu anapost...zimebaki sijuwi siku...Leo nimebahatika kuskiza nyimbo yake mpya... ni tamu sanaaa....
Kuliko kuandika gazeti....Ukitaka kujua hii nyimbo mbaya kwanza imenyimwa airtime na bila kuwekwa hapa na wapambe wake ushuzi nina huakika msinge isikia kabisa kwenye vituo vya redio.....jide anachotakiwa ni kuamini alikuwa anatembea na mataili(nyota) ya gadner....sasa haipo ajiandae kuwa mshabiki wa muziki na sio mwanamuzi....wako wapambe ambao hawakubali hili ila kwa wachambuzi wa muziki watakubaliana na mimi nyota ya jide ilianza kung'ara punde tu alipoingia kwenye maisha ya ndoa na gadner.....na hii sio tanzania tu wasanii waliopotea kwa kukosana na waume zao na ambao walikuwa wanang'ara kwa nyota za waume zao mfano mariah Carey alipotea baada ya kuachana na mmewe wa kwanza Tommy Mottola.....wote mashahidi tuliona kilichompata Mariah Carey ....
....ukiona wanatoa povu ujue ujumbe umefika... hata wao wanajua kuwa wimbo wa kawaida ila wanajaribu kulazimiaha watu waupende...kazi kwelikweli... watu wa jf na insta ukishawaelewa hata hawakupi taabu maana kama ni degree za unafiki wanazo tele..hawa wana kazi maalumu humu ndani(jamii forum)tazama hizi id tunazohangaika nazo kuwaambia ukweli wamejiunga lini ndo utajua....
Unanifundisha cha kuongea huwa unaniwekea bando!?....si mmeweka hapa na mnasifia kuwa mzuri basi tulia na sisi tuueleze kuwa mbaya.....@balantandaKuliko kuandika gazeti....
Wimbo kama mbaya ni bora kupiga kimya na kuupotezea Chifu..
je unafikiri wamemchukia bila sababu za msingi??? au unatiririka tuu kama maji???jd ni mkorofi, sio msikivu, mbishi, hashauriki, aliyeshindikana..hawezi kuishi na mtu yoyote bila kugombana nae, pia ni mbinafsi sana, na pia hawapendi jinsia yake(kike).So hawezi kufika mbali.. namshauri abaki kama mshauri na asifanye kazi za jumuiya afanye kazi zake binafsi.. mziki awaachie vijana wanaojua kucheza na saikolojia ya kisasa kama v money(vanessa mdee)..Watu wa Imani wanasema jua lisizame kabla ujapata na mwenzio.... Ila najiuliza ni roho ngapi ambazo zinafanya kazi katika redio maarufu apa DAR Zilivyozamishwa Kutenda zambi ya kumchukia mwanamuziki huyu na kumpa nafasi ya katika iyo redio kupiga nyimbo zake......YOTE YATAPITA NA MWISHO WA SIKU NI HUKUMU.... NACHOSEMA MANENO YA WAZI KWA WAHUSIKA WA IYO REDIO KILA JAMBO LINA MWISHO WAKE....ATUWEZI ONA UFALME WA MUNGU KWA JINSI HII...........
ATALAANIWA AFANYAE JAMBO BAYA KUMUUZUNISHA BINADAMU MWENZIE.........................
kuwa na vituo vingi vya redio sio sababu... jaribu kushirikisha ubongo wa mbelee.. wimbo wako kupigwa redioni haikusaidii chochote..kwa mziki wa leo show ndio zinakutoa..pia hizo station nyingine ni ndogo na hazina nguvu kiivyo ni sawa kuna watu 100 then watu 98(redio nyinginezo) ni masikini wa kutupa na hawana msaada na watu 2(clouds na radio x..) ndio watajiri wakubwa wenye uwezo wa kukunyanyua na kukufikisha kilele cha mafanikio..kifupi hata wimbo wako ukipigwa mara elfu kwenye baadhi ya redio haikuingizii chochote zaidi ya kusikika..tunahitaji mapinduzi..Tz ina vituo 100 vya Redio au vi 2 tu??
Ukitaka kujua hii nyimbo mbaya kwanza imenyimwa airtime na bila kuwekwa hapa na wapambe wake ushuzi nina huakika msinge isikia kabisa kwenye vituo vya redio.....jide anachotakiwa ni kuamini alikuwa anatembea na mataili(nyota) ya gadner....sasa haipo ajiandae kuwa mshabiki wa muziki na sio mwanamuzi....wako wapambe ambao hawakubali hili ila kwa wachambuzi wa muziki watakubaliana na mimi nyota ya jide ilianza kung'ara punde tu alipoingia kwenye maisha ya ndoa na gadner.....na hii sio tanzania tu wasanii waliopotea kwa kukosana na waume zao na ambao walikuwa wanang'ara kwa nyota za waume zao mfano mariah Carey alipotea baada ya kuachana na mmewe wa kwanza Tommy Mottola.....wote mashahidi tuliona kilichompata Mariah Carey ....
Teh Teh ..habari yako Mama mkwe...Chizi huwa haponi
Hatimaye kumekucha,
Mirembe nakushusha ....
Message sent. ...
Mziki mzuri anyway.