Kumbe we Gardner ndo unatumia hii ID eee, ntakuwa nakufatilia, Yan mtu uvunjike kiss unamkimbia mtuJide style yake kila anapotoa albam au nyimbo Ni kutafuta huruma kwa wananchi. Kila Mara anawachezea watu akili kwamba yeye Ni victim. Style yake Ni kuwapaka wenzie matope ili apate kiki lakini wenye akili tumeshtuka. Mwanzo kina Joe Kusaga na Ruge, sasa hivi X-husband, sasa albam nyingine sijui atakuwa nani? Muogopeni huyu mama kama ukoma, hata akikutongoza Kimbia mpaka mguu uvunjike.
Acha unafiki wewe inamaana kabla ya bifu hakuwa na nyimbo Kali!?na collabo vp! Huyo ruge kajaribu kushusha watu wengi sana kupitia media yake na sasa hv wote wanaungana hlf ukweli wasanii wengi hawampendi sema ndo hamna namna maana hawana akili na shule!Jide style yake kila anapotoa albam au nyimbo Ni kutafuta huruma kwa wananchi. Kila Mara anawachezea watu akili kwamba yeye Ni victim. Style yake Ni kuwapaka wenzie matope ili apate kiki lakini wenye akili tumeshtuka. Mwanzo kina Joe Kusaga na Ruge, sasa hivi X-husband, sasa albam nyingine sijui atakuwa nani? Muogopeni huyu mama kama ukoma, hata akikutongoza Kimbia mpaka mguu uvunjike.
mbona mke aliyeporwa mume ajajitokeza asha uccmJide alipora MUME wa mtu, huyo mume kuendelea na tabia yake ya usaliti imemuuma yeye, hakika huyu ni binadamu wa ajabu sana bora angetoa visingizio vyote hili la kuchepuka aache maana kamfundisha yeye.
mzigo bado tunauchunguli chumbani baadae tutawawekea huko YouTubehii video youtube sangap maana dada jide siion account yake ya youtube
We utakuwa mgeni mjini, ajitokeze mara ngapi? unajua kuwa Gadna alienda kumuiba mtoto mwanza na mwanamke akamzuia air port mpaka suluhu kupatikana ndio gadna akaja na mtoto Dar? na baada ya Jide kuanza kumfunisha mtoto kuimba mziki mama wa mtoto akakataa ikabidi mtoto akalelewe na bibi yake mzaa baba Tanga, na amepata malezi bora sasa hivi ni mwana chuo? Wewe utakuwa mchepuko si bure.mbona mke aliyeporwa mume ajajitokeza asha uccm
Jide alipora MUME wa mtu, huyo mume kuendelea na tabia yake ya usaliti imemuuma yeye, hakika huyu ni binadamu wa ajabu sana bora angetoa visingizio vyote hili la kuchepuka aache maana kamfundisha yeye.
Umejuaje Boss??Mungu asingeacha chozi la aliyesalitiwa lipite bure, siku zote wasaliti hawadumu. Yani always ALWAYS wanaosaliti wenza wao waliokuwa nao muda mrefu wanaumbukaga vibaya mnoooo! Tena hawa wamejitahidi kukaa muda mrefu mbona. Kitu huwa hakizidi miaka miwili chaliii!
Nampenda huyu Dada mpaka basi
Huyu Dada sio wa kushuka Leo wala keshooo team DVD Kazi wanayooo .. Huumchezohauhitajihasira teamkuziogaaa[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Acha kabisa. Jide yuko juu bhana!
Yale mavazi jee??!! Duuuh tukubali tu kuna watu kuja kushuka kimuziki ni mpaka waamue wenyewe mfano Jide alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo.
Waliokuwa wanamdis kwamba kafulia siwapatii picha walivyobaki midomo wazi!
Bora mkuu ulivoukubali maana wanaume wengi hawataki kuuskiliza kisa kadhalilishwa mwanaume mwenzao[emoji12] [emoji12]Ndi ndi ndi ni khabari ya town dadeki.. komando
ww na mumeo nani ana miliki mali?,if mkiachana utakubali kuondoka na nguo zako ulizokuja nazo?,au utataka mgawanyo wa vile vitu mlivyochuma wote?,Kwa mwanaume anayependa kitonga tena mtu mzima lazima video imuume! Haswa nasikitika pale itakapokuwa inapigwa mnakimbilia kuzima tv .....ze ndii ndii # team gadna #team DVD polen?
Kweli kabisa, usitumie uwezo wako kuwaumiza wengine, Jide alifanikiwa kumteka Gadna kwa pesa zake, leo analia kusalitiwa? Kweli kusahau ni kwepesi sana.Mungu asingeacha chozi la aliyesalitiwa lipite bure, siku zote wasaliti hawadumu. Yani always ALWAYS wanaosaliti wenza wao waliokuwa nao muda mrefu wanaumbukaga vibaya mnoooo! Tena hawa wamejitahidi kukaa muda mrefu mbona. Kitu huwa hakizidi miaka miwili chaliii!
wewe utakuwa ni mbulula kwanza tambua gadna syo mtu watanga na wazaziwake hawapo tanga wako mkoani Kilimanjaro wilaya ya rombo kata ya tarakea makombero acha wiziWe utakuwa mgeni mjini, ajitokeze mara ngapi? unajua kuwa Gadna alienda kumuiba mtoto mwanza na mwanamke akamzuia air port mpaka suluhu kupatikana ndio gadna akaja na mtoto Dar? na baada ya Jide kuanza kumfunisha mtoto kuimba mziki mama wa mtoto akakataa ikabidi mtoto akalelewe na bibi yake mzaa baba Tanga, na amepata malezi bora sasa hivi ni mwana chuo? Wewe utakuwa mchepuko si bure.
Acha kutukana kama huna hoja, kuwa mchaga haimaanishi lazima uishi uchagani fanya tafiti kabla kujajibu hoja, kama mie ni mbururla kwa maono yako na kwa uelewa wako, ninalipokea vizuri tu hilo.wewe utakuwa ni mbulula kwanza tambua gadna syo mtu watanga na wazaziwake hawapo tanga wako mkoani Kilimanjaro wilaya ya rombo kata ya tarakea makombero acha wizi
Hahahahahah mkuu umenichekesha hadi nikatoa machozi, kumbe yy ndo Gardner tehehehehKumbe we Gardner ndo unatumia hii ID eee, ntakuwa nakufatilia, Yan mtu uvunjike kiss unamkimbia mtu
acha wiziAcha kutukana kama huna hoja, kuwa mchaga haimaanishi lazima uishi uchagani fanya tafiti kabla kujajibu hoja, kama mie ni mbururla kwa maono yako na kwa uelewa wako, ninalipokea vizuri tu hilo.