[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndii ndii ( kashachukua dvd)Umeongea vizuri sana,hivi kwenye ile kesi yao mahakama iliamuaje,maana Gadna anahitaji fidia amepotezewa muda sana, na pia kwa kuchuma mali alishiriki kwa kiasi fulani ana certain percent ya mchango wake...
Wewe ney hebu tulia[emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndii ndii ( kashachukua dvd)
Jide kaamka tena kwa kishindo, yule mwanamke ni hatariAisee mimi huwa si shabiki wa Jide lakini wimbo huu na video yake ni hatari sana...sasa pale jamaa anapo kusanya dvd tuu nimecheka sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wataziogaaa ndindindiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndii ndii ( kashachukua dvd)
Nampenda huyu Dada mpaka basiUwiiiiiiii Jide tisha mbayaaa!
Mwasiti ebu fanya kufuata nyayo za komando kwenye game daaaaah nimezidi kumkubali binti machozi! Still a queen
Ndo muache vitonga miaka 10 ya ndoa unaondoka na DVD[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mwanaume mwenzangu kudhalilishwa imeniuma sana yani kuondoka na dvd tu aiseeee!
Mwanamke ucpo mpiga! Anajua humpendi...yeye angevumilia tu maana ndo mila za kikurya.kasema pia alikuwa anapigwa sana akaamua asepe
Nani alikuwa anapigwa sanakasema pia alikuwa anapigwa sana akaamua asepe
Yahaya unaishi wapi?Khaaaaaaaa jide alimkuta gadna kapuku mchuuz wa samak mwanza! U can't change ua background sasa hiv tuko ze ndii ndii
Ndindindi = I am something & toli= your nothing. ...ufafanuzi zaidi angalia Friday night muda huu