nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Ila sinyumbuliki kama nyoka (mwenye makengeza?)Huyu mzee wa kunyumbulika, topic zote anapiga!
achana nae huyo yupo milembeNamba 2 hapo kakulazimisha nan?
Yupo Ndi Ndi Ndi..achana nae huyo yupo milembe
Khaaaaa...ingekuwa na madhara aisingedumu kwenye game 13+ yrzNaona video imeondolewa ...
Jide ana sauti nzuri ila amelemaa kuimba kwaya za kisabato...midundo unakuta okay akini vina vya gospel...
Akiweza tafuta mtaalamu wa kurekebisha hilo atafika mbali...aache kuimba ki kwaya kwaya...
Kwa kuwa sijausikia huu mziki sina comment...ila nina wasiwasi na la ukwaya kwaya
Na we ni za kushoto? Hawayu?Ndio zake za kulia.....!
kwa hiyo unamuonea wivu?!Ndio zake za kulia.....!
Alie acheke au anune sisi haituhusu as long as anatupa burudani kitu roho inapenda baaaaaaasi sisi hatuna tatizoNiliwahi kuweka post hapa kwamba Jaydee ana tabia ya kuwatungia nyimbo watu anaogombana nao nikatoa na mifano hai lakini #Team jide hasa wale waliokuwa wanaenda kuliwazwa na bendi yake pale Zhong hua garden karibu na Morroco waliniandama mno...!
Sasa baada ya kimya kingi na misuko suko mingi katoka na wimbo wa ndii ndii ndiii humo ni full kulialia
Halihitaji degree hilo.Jide kuna sehemu anasema "chizi ameshashushwa milembe"..Huyu chizi ni nani?
jide siku zote muziki wake huwa ni classic, mpaka watoto wa masaki wanasikiliza nyimbo zake, sio akina shilole wanaimba utumbo then mnawashabikia na viduku vyaoThe worst you can call Jaydee song is "ya kawaida". Ila calling it "shit" that's just pure hating!! Let's keep it funky #NdiNdiNdi
Kila msanii ana mtindo wake wa kuimba, mfano tunda man ana mtindo wa kuimba huku analalamika, na anapendezea sana akibakia huko, so kwa jide pia sioni tatizo ikiwa style hyo ndo humpendeza, hata diamond halikadhalika, nyimbo zake nyngi huwa zina ladha mojaNaona video imeondolewa ...
Jide ana sauti nzuri ila amelemaa kuimba kwaya za kisabato...midundo unakuta okay akini vina vya gospel...
Akiweza tafuta mtaalamu wa kurekebisha hilo atafika mbali...aache kuimba ki kwaya kwaya...
Kwa kuwa sijausikia huu mziki sina comment...ila nina wasiwasi na la ukwaya kwaya
Wacha wee....maskini shilolejide siku zote muziki wake huwa ni classic, mpaka watoto wa masaki wanasikiliza nyimbo zake, sio akina shilole wanaimba utumbo then mnawashabikia na viduku vyao