Ladies: What exactly are you looking for in a man?

nzuri kiasi the king nina mafua una bahati nicas wake hakuwa around angeshangaa hata mawindo yake unayawania

pole sana malikia wangu.. kuna kitu unakikosa! nakiona kabisaaaa!

ngoja nimalize hii ishu ntakukunulia eneo maalum la kupumzikia pembeni ya bahari!

em niambie ufukwe gani hasa ungependelea mamii?
 
hahahha nitafurahi but wapi utapata mkwanja au ushaanza kuwa fisadi papa
 
mamii unauliza tena hilo? em kwanza jiandae andae jioni tukapate matembezi lodge flani hivi.. huko tutamalizana kila kitu!

sawa malikia mremb kuliko wote JF? umenielewa mpenzi? dont hesitate please!
 
Mmmhhh....
 
Back
Top Bottom