Ladies: What exactly are you looking for in a man?

Ladies: What exactly are you looking for in a man?

1. Love (True love), asiwe opportunist
2. awe na roho nzuri
3. awena elimu at least ya kuombea maji,- walau ka-diploma
4. awe na uwezo wa kujikimu kimaisha bila kuwa tegemezi
5. asiwe mvivu
6. asiwe muhuni (siyo michepuko kila kona)
7. machenic, electrician, fundi selemara, fundi bomba, (kwa nyumba only) - kwa ufupi "handy man", siyo hata kubadilisha tairi la gari tumtafute jirani.
8. asiwe muhaya (sorry kwa wale nitakao wakwaza kwa hii point, it is my personal preference, hawa watu walishanitenda sana :sad🙂
9. wa hivi yupo kweli?
 
hahahaaa! mkuu, tuwekepo mipaka aisee.. ya chini kule tuyaacheko! au sio bro?

nimeitoa humuhumu ndani mkuu, sijaleta jambo jipya wala
halafu hata hakionekani mkuu
 
ATM + 6*6 tu......hata uwe na tabia mbaya kiasi gani vigezo hivyo viwili vinafuta mapungufu yako Yote.
 
Back
Top Bottom