B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,579
- 3,270
Honesty, love and Brains.
rasterman ninavyoo...umesha chumbiwaa
Honesty, love and Brains.
Hahaha kumuwowa haiezekani labda mchepuko utafikiriwa kwa mbaliii
Mpwa mbona unazuga mpya
Kwahyo umeacha kumtamani kabisa?mmh
mm dushelele sawasaw daaa nakuwa kipofu...unsound hta nikila ugali na bamia na huku unanishika shika acha kabisa upendo na gegedo mia...
hahahahaaa..nimecheka..umenifurahisha!!
I see....cheka uongeze siku za kuishi.wewe pesa itanunua kila kitu ila sio upendo na aman.niwe na mume anayenipenda na kunipa ileee kitu tamu hta tukila na kuvaa chochote mm pouwa.
mm dushelele sawasaw daaa nakuwa kipofu...unsound hta nikila ugali na bamia na huku unanishika shika acha kabisa upendo na gegedo mia...
cheka uongeze siku za kuishi.wewe pesa itanunua kila kitu ila sio upendo na aman.niwe na mume anayenipenda na kunipa ileee kitu tamu hta tukila na kuvaa chochote mm pouwa.
Shikamoo aka am speachless
Serious mpwa..sitanii
Mwenye hofu ya mungu, mwajibikaji, anaenipenda na kunijali
1. Love (True love), asiwe opportunist
2. awe na roho nzuri
3. awena elimu at least ya kuombea maji,- walau ka-diploma
4. awe na uwezo wa kujikimu kimaisha bila kuwa tegemezi
5. asiwe mvivu
6. asiwe muhuni (siyo michepuko kila kona)
7. machenic, electrician, fundi selemara, fundi bomba, (kwa nyumba only) - kwa ufupi "handy man", siyo hata kubadilisha tairi la gari tumtafute jirani.
8. asiwe muhaya (sorry kwa wale nitakao wakwaza kwa hii point, it is my personal preference, hawa watu walishanitenda sana :sad🙂
9. wa hivi yupo kweli?