Mkubwa ndevu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,043
- 358
singel boy
Huo wimbo wa ulimboo
Kwenye ulingo wa limboo
Mingo ya bingo, shingo kwa singles maringoo
Msaada tutani ka utingo
Tiba ka Vix Kingo
Kwa mapana fundi ka karakana, napanua wigo na kukutua mzigo.
mmmh zinatofautianaje...
mbona wanasema utazunguka mabucha yoote ila nyama ni ile ile
Kama umewah kutest more than one dushe
I guarantee Hukupaswa kuuliza chili swali
Ulipaswa kulijb
1. Love (True love), asiwe opportunist
2. awe na roho nzuri
3. awena elimu at least ya kuombea maji,- walau ka-diploma
4. awe na uwezo wa kujikimu kimaisha bila kuwa tegemezi
5. asiwe mvivu
6. asiwe muhuni (siyo michepuko kila kona)
7. machenic, electrician, fundi selemara, fundi bomba, (kwa nyumba only) - kwa ufupi "handy man", siyo hata kubadilisha tairi la gari tumtafute jirani.
8. asiwe muhaya (sorry kwa wale nitakao wakwaza kwa hii point, it is my personal preference, hawa watu walishanitenda sana :sad🙂
9. wa hivi yupo kweli?
Leo tutajuta
Naona mkuu vina vingi kama bahari
Yeah Personality can define a man for who he real are(I hope u don't confuse with looks/appearance)
sijawahi Ku test zaidi ya moja
character comes first.
sio his look/appearance
ATM + 6*6 tu......hata uwe na tabia mbaya kiasi gani vigezo hivyo viwili vinafuta mapungufu yako Yote.
Sure! wengine wasema wapenda naughty girls, mtu ambae hana arguments yeye kila kitu sawa mume wangu inaboa wakati mwingine ati!Wengine tunapenda sana hao hao watata..! Yaani ule utata wake ndio hunifanya nimpende zaidi..!
Asipokuwa mtata kwangu hana nafasi..!
hahaha king mswati at work
za asubuhi mpenzi!? kichuri kilinizidia aisee, si unajua tena niko home! hivi nilimwambia nani vile ? hahahaaa!
akija namruka mita lfu 10!
Anataka umuwoweeeeee