Alijua kwa vyovyote vile wapiga chabo kama wewe Katavi lazima mzamie...lol
Mbona ulikuwa unasema mimi unanielewa halafu hebu kaibandike hii kule chumbani kwetu itatusaidia tukigombanaBrilliant , very impressed with this thread ...oa
in other hand ni ngumu sana ku mu understand mtu compliantly..
Mbona ulikuwa unasema mimi unanielewa halafu hebu kaibandike hii kule chumbani kwetu itatusaidia tukigombana
Kujibu swali lako hapo mwisho kuwa tunapo-date wasichana tusio na mpango nao...........mimi binafsi huwa nawaeleza ukweli kuwa sina mpango wa kuoa, lakini namtreat kama ambavyo ningemtreat mtarajiwa wangu
Poa ngoja nipunguze ubahili maana Husninyo kazungumzia ubahiliNahitaji mkate wangu wa kila siku..
Nikisema mi sikuelewi si utapandisha mashetani
ya tutu. Bala sitaki..
Naelewa vitu vingi kuhusu wewe lakini si kila kitu..oa
Bahati nzuri ninaokutana nao wanakuwa waelewa, sijawahi kutana na king'ang'anizi...Loh! hiyo yako mbaya..maana kwa yale mazuri unayomtendea anaweza akasema "mmmh,huyu katavi wala hakumaanisha alichosema"..mwisho wa siku ana-fall for you then wewe unammimina....mbaya sana..
kukuhudumia pale unapokwama smile, kama unajiweza ina maana hutahitaji msaada wake wa kifedha bali ukaribu wake zaidi wakati upo na shida.asante husninyo kwa somo zuri.ila hicho kipengele sijakuelewa ni sehemu gani mwanaume wako anatakiwa akuhudumie ili uone kweli huyu sio bahili ? maana kuna wapenzi wengine mwanamke nae ana uwezo,wa kuvaa .kwenda saluni etc au anatakiwa tu akuhudumie haijalishi una hela au lah?
Mimi sijachungulia ila nimesoma between line na hii Post yako ni useful kwa kila mtu, unajua kwa upande wangu huwa nina date na msichana mwingine ninapoona kero na maudhi yamezidi kwa GF wangu wa ukweli kwa hiyo huwa nafanya hivyo kupunguza stress... na muda mwingine kuna mabinti ambao huwa wanazimika wenyewe ingawa wanajua mimi nina kifaa changu tayari huwa najitahidi sana kuwapotezea lakini inakua ni ishu mwisho wake hua tunajikuta kwenye maugomvi na chuki zisizo na msingi.
Mimi ni mstaarabu kwa GF hata kama na date na demu wa nje siwezi kupotelea huko kabisa
ubahili wakti mwingine unaleta maana kuna mshikaji wangu ana demu wake, demu mam safi mshikaji mambo yake kawaida anategemea mshahara halafu na mzigo wa kuwatunza ndugu na jamaa zake upo juu yake lakini demu wake ana matumizi ya ovyo ile mbaya lakini demu hajali, unakuta demu anaomba elfu 50 kwa ajili ya kwenda kununua top ya kuvaa, mshikaji ana mdogo wake anaomba elfu 20 ya tuition inakua ishu.