Jinsi unavomuelewa mama mkwe wako si jinsi mtu mwingine atakavomuelewa mama mkwe wake, kuna wa mama mkwe wa baya wewe, yuko radhi hata akuue so kwa swala hili, mimi binafsi na weza sema naishia hapa. Kama wewe una mkwe mzuri muombee tu na wengine pia wajue la kufanya. Asipo kua mkorofi atakua na roho mbaya, asipokua mbaguzi na mwenye wivu basi mchawi, let say anakuulia watoto kila unapozaa au mimba zinatoka kwa mauzauza, hapo unataka umuele kiaje waaii.
Kipipi... acha mzaha say something dear....
Kuna mama wakwe wengine kwa ukorofi ni moto wa kuotea mbali yaani hata ufanyeje ye kwake ni nothing! Akianza kugomba mpaka utasema amen na akiamua kususia msosi, mbona utakonda?! Mpaka uje kucope nae inahitaji kipaji kwakweli! (AshaDii hapa nimeongea nikiwa serious kabisa kwa nilichokishuhudia)
mmh ndio ukutane na mama mkwe ambaye kijana anayekuoa ndio mwanae wa pekee wa kiume na on top of that awe mtata!!! kazi ipo.... ambao hatujaolewa bado tuombe Mungu jamani maana mama wakwe wana play part kubwa sana kwenye maisha ya ndoa!!!
Yoote hayo sikatai Kipipi... What i am trying to say hapa ni kua atleast understand her.... Mie nasema kwa yule ambae amejaliwa kua na mtoto hasa wa kiume (for hawa watoto hupenda saana mama zao) You would understand how she feels kua for the first time in her life the attention ya mtoto wake hio imehamia kwa mwanamke mwingine ambae wamejuana ukubwani..... Kwani kama yeye mkorofi ni lazima nawe uwe mkorofi??
mmh ndio ukutane na mama mkwe ambaye kijana anayekuoa ndio mwanae wa pekee wa kiume na on top of that awe mtata!!! kazi ipo.... ambao hatujaolewa bado tuombe Mungu jamani maana mama wakwe wana play part kubwa sana kwenye maisha ya ndoa!!!
mzabzab kuna ukweli kwenye assumption yako, lakini sio kwa wote, wengine ni mapenzi yao tu na fashion ...wana miguu mizuri sana lakini wanapenda kuvaa suruali!
Kweli wanawake wanaovaa suruali mara nyingi wanakasoro na hawajiamini japo sio wote.mie mwanamke akivaa suruali my first asumption ni kwamba hana miguu omizuri....mwanamke yoyote yule mwenye miguu mizuri atapendelea kuvaa skirt.
also lazima kiwe na tofauti bwana sasa mke na mume wote trouser ndio nini....vaa kama queen bwana ndio unakuwa mwanamke wa kweli.
Mi naona hiyo research yako irudishe darasani kwanza iwive,unamaanisha kwamba hizo ndoa zinazofungwa kila siku asilimia kubwa hao wanawake walivaa sketi ndo wakapa wa kuwachumbia?