Hata sijaelewa
Ukigundua mume wako anachepuka,utatulia tu ukizingatia watoto wanahitaji mapenzi ya baba na mama au utampa kisogo akwendreee anapokwenda?!
Hata sijaelewa
"I don't chas' em, I replac'em, eeh!
Kontena linaweza jaa mkuu kwa style hii
Kwanza pole kwa yalio kusibu. Pili, kama unapata nahitaji na hudima kama kawaida nakushuri utulie ili uwalee watoto wenu. Na pia jaribu kujipenda, Kula vizuri, punguza mawazo kwa kufanya kitu unacho kipenda, jiweke buzy. Baada ya hayo, zungumza na mwenzio kwa upole na upendo pengine atabadilika na kukiri kisa. Then utaridhika na maisha yataendelea
Kama anachopenda yeye ni kuonja ladha ya nje (kuchepuka)?
ni nini hiki???
Ukigundua mume wako anachepuka,utatulia tu ukizingatia watoto wanahitaji mapenzi ya baba na mama au utampa kisogo akwendreee anapokwenda?!