- Thread starter
- #41
Nini kimekutokezea tena hadi ukaja na maswali haya?
Hamna lolote lilonitokea mkuu,hizi thread za humu ndani,wakidai ni nature kuchepuka ndio kumenifanya niogope,otherwise mie ni dada ninayepanga kuwa na familia siku moja,nataka kujua changamoto za ndoa maana najua sio mtrremko....