Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Hata sijaelewa
Utaelewaje wakati nyie ndio wachepukaji wakubwa
Hata sijaelewa
Hahhhaaaaa mwache akwendreeeee anapokwenda Mungu yupo
Msongo wa mawazo, Mume hajarudi hadi wakati anatupia huu uzi. Ila bahatimbaya aliandika akiwa high tampered, ndiomaana hajaeleweka uzuri
nina ujasiri lakini mnisifu kwa kufungua thread ya mademuKwa sababu we mvamizi....wenyewe tumeelewa vizuri kabisa
mambo mremboNini kimekutokezea tena hadi ukaja na maswali haya?
Ukigundua mume wako anachepuka,utatulia tu ukizingatia watoto wanahitaji mapenzi ya baba na mama au utampa kisogo akwendea anapokwenda?!
ukigundua mumeo jichunguze nn anakos kwako? usafi, mambo ya 6 by 6 au ni gubu maana wengine muda wa kurudi home anatamani alale ofisini pia hakuna ndoa ambayo haina challenge kikubwa ni uvumilivu tu
[/QUOTE]Mkuu umenena,unajua kuna wengine hawajaingia kwenye ndoa halafu wanawashauri walio kwenye ndoa mwanaume hata umfanye nini kama akiamua kuchepuka kaamua tu nadhani hiyo ni tabia ya mtu,hata ushinde na lipsick masaa 24 atatoka tu, mimi ndio mana napiga kimya simshauri mtu maana sijaingia kwenye hilo gemu.Khantwe;11122270]Yan hapa ye wanawake wenzangu ndo mnaniachaga hoi....kwa nini mnawahalalishia wanaume kuchepuka?? Umalaya afanye yeye,nje atoke yeye kujichunguza nijichunguze miee...mbona majangaaa...
...jambo, nzima weye?
Hata sijaelewa
Ahh....
Siku nyingine usiweke limitation kwa heading alert....