Ukijua hakupendi, nini kinafata ?

Ukijua hakupendi, nini kinafata ?

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,848
Reaction score
15,794
Nianzie hapa, kuna video ya dokta mmoja nilikua nasikiliza, maudhui yake ni kuhusu, Tendo la ndoa (sex).
Kwenye maelezo katikati mtaalamu alikazia kusema wakati wa sex, endapo mwanamke atakua hana hisia na Me na vibration zake zimegoma kabisa, inamaana akifanya tu kukuwezesha Mwanaume kukojoa, na yeye asifike mshindo ni rahisi sana Kumgundua. Kama wewe ni mtundu wa sayansi ya ngono.

Mwanamke akifika mshindo vizuri hata kama hana mapenzi na wewe ya dhati, atajikuta tu automatically anaanza kukupenda.

Note:
Mwanamke anafananishwa na kitoweo cha Nyama,

Sasa usije ukajitafutia beef 🍖 usiyoweza kula ukaimaliza,.
Bien anakwambia unajua Sikulagi sana, yeye ni kuwasha na kuchoma hakuna kulala.

Ukigundua Manzi hamfikishani nini kinafata, kuachika au mashauri ?
 
1000057999.jpg
 
Better leave early
 
Acha kung'ang'ania mambo, kumbuka nyakati ngumu hazidumu pia watu hujana kuondoka maishani mwako. Tumia mda wako vizuri pia kunakufa ukumbuke unayemganda ipo siku atakufa au utamuacha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom