Ladies only

Ladies only

Hawa wanaume tumeshawajengea tabia ya kujiona wana haki ya kucheat, its ok ila yote hayo sisi wanawake hatujitambui. Ukitaka kujua hatujitambua cheat uone kama mwanaume atavumilia.
 
Yan hapa wanawake wenzangu ndo mnaniachaga hoi....kwa nini mnawahalalishia wanaume kuchepuka?? Umalaya afanye yeye,nje atoke yeye kujichunguza nijichunguze miee...mbona majangaaa...

Mie ndio nashangaaga hapo.
Na humu wanatusoma vizuri
 
Yan hapa wanawake wenzangu ndo mnaniachaga hoi....kwa nini mnawahalalishia wanaume kuchepuka?? Umalaya afanye yeye,nje atoke yeye kujichunguza nijichunguze miee...mbona majangaaa...

Heri unisaidie kushangaa
 
Yan hapa wanawake wenzangu ndo mnaniachaga hoi....kwa nini mnawahalalishia wanaume kuchepuka?? Umalaya afanye yeye,nje atoke yeye kujichunguza nijichunguze miee...mbona majangaaa...

wewe ni kiwiliwili sasa kichwa kikipata hitilaf lazima tuanzie chini kujua nn chanzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom