Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,695
- 1,696
Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.
Vingine havivaliwi, kila msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni kwa nini. Katika kipindi chote nina pairs mbili za viatu ambavyo ni vile vya 2006 mpaka leo viko kwenyue chati na kila siku navivaa kazini.
Ni huyu Madame Superlady tu au ni kwa Ladies wengi?
Kwa kuwa jukwaa lenu pendwa wapo ladies wengi na gents ambao spouse wao wanaweza kuwapa majibu, naomba tusaidiane kuelewa ni kwa nini?