Ladies Na Pairs Luluki Za Viatu: Why?

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.

Vingine havivaliwi, kila msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni kwa nini. Katika kipindi chote nina pairs mbili za viatu ambavyo ni vile vya 2006 mpaka leo viko kwenyue chati na kila siku navivaa kazini.

Ni huyu Madame Superlady tu au ni kwa Ladies wengi?

Kwa kuwa jukwaa lenu pendwa wapo ladies wengi na gents ambao spouse wao wanaweza kuwapa majibu, naomba tusaidiane kuelewa ni kwa nini?
 
si umwambie avigawe vingine.....?
sio wote wako hivyo,wengine ugonjwa wao ni nguo,nywele etc
majority wana kila kitu..ila kwa kiasi,nguo kiasi, viatu kiasi...ukiona kazidisha mahali ujue ana mapungufu fulani anayohisi..hivyo vitu vitajazilizia...
:redfaces:
 
Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.

Vingine havivaliwi, kina msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni kwa nini. Katika kipindi chote nina pairs mbili za viatu ambavyo vile vya 2006 mpaka leo viko kwenyue chati na kila siku navivaa kazini.

Ni huyu Madame Superlady tu au ni kwa Ladies wengi?

Kwa kuwa jukwaa lenu pendwa wapo ladies wengi na gents ambao spouse wao wanaweza kuwapa majibu, naomba tusaidiane kuelewa ni kwa nini?

hawa jinsia ya upinzani wanapendaga makompetisheni yasio ya msingi, usikute pengine anashindana na kadada kengine huko kazini kwake wakati wewe mzee unakausha ATM.

ushauri wa ku recover: msubiri awe kizee ufungue duka la viatu, pair 100 ni asset tosha kabisa
 
Mh!pair mia ni vingi naamini vingine vinapitwa na wakati inapendeza kugawa,,kiukweli wanawake huwa na viatu vingi kuliko wanaume,na vingine vinaweza kumaliza miaka visivaliwe,lengo wakati mwingine ni kumechisha na nguo,au pochi,n.k.Pia usisahau kuwa mwanamke ni pambo anahitaji kubadilika na kupendeza,ila pair 100 ni nyingi kiongozi.
 
Viatu ndio vya muhimu zaidi kwenye kivazi cha mwanamke (kwa mtizamo wangu)

Manake unaweza kukuta mwanamke apendeza ukishusha macho kwenye kiatu ukashangaa. A lady who knows her shoes most likely anajua namna ya kulipuka na vivazi vyengine
 
nakubaliana na wewe,viatu kwa mwanamama/mdada vina leta hadhi flani ivi
haipendezi kwa mdada kuvaa nguo nzuuuuuri na viatu vya hovyo

hata hivyo pea mia zote za nini?kwani ni show room ya viatu?e!
 
nakubaliana na wewe,viatu kwa mwanamama/mdada vina leta hadhi flani ivi
haipendezi kwa mdada kuvaa nguo nzuuuuuri na viatu vya hovyo

hata hivyo pea mia zote za nini?kwani ni show room ya viatu?e!

Angekuwa anavaa kidogo kisha anatoa 'sadaka', ananunua chengine.

Kama pesa ipo shida gani bwana, mwacheni apendeze.
 
Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.

Vingine havivaliwi, kina msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni kwa nini. Katika kipindi chote nina pairs mbili za viatu ambavyo vile vya 2006 mpaka leo viko kwenyue chati na kila siku navivaa kazini.

Ni huyu Madame Superlady tu au ni kwa Ladies wengi?

Kwa kuwa jukwaa lenu pendwa wapo ladies wengi na gents ambao spouse wao wanaweza kuwapa majibu, naomba tusaidiane kuelewa ni kwa nini?

kumbe tupo wengi tusumbukao na kuelemewa na mambo ya uzao wa eva , jamani wanawake wako complicated, ukiiacha viatu pia mikoba na mikanda ya magauni au hizo jinzi zao utakuta anataka mkanda ufanane na handbag na blauzi sasa mkosoe ni kununiwa mpaka ukome
 
Angekuwa anavaa kidogo kisha anatoa 'sadaka', ananunua chengine.

Kama pesa ipo shida gani bwana, mwacheni apendeze.

I can only imagine vile ako na boutique kwa nyumba
that is kama sector ya nguo na nywele pia yuko poa
 
Mbn ni kawaida tu!ndio mwanamke inavotakiwa ukijumlisha na mapochi pia!swadakta!
 
Wanawake na shopping ni kama uji na mgonjwa! Viatu, handbags na vitu vingine ndio starehe yao. Kuna wengine huko kwa nchi za wenzetu mpaka wanaitwa SHOPAHOLIC, wana ugonjwa wa kufanya shopping.............!!

Mimi huwa nikiona handbag nzuri nainunua kwa halafu naihifadhi, siku nikiharibu nikanuniwa naipeleka kama zawadi, kesi imekwisha!
 
Mwanamke na pair nyingi za viatu ni kitu cha kawaida sana hasa kama anapenda kwenda na wakati na ana uwezo kujipatia styles mbalimbali kwa occassions mbalimbali.Nijuavyo mimi wanawake wenye nafasi zao na uchache wao huweza kuwa na hadi pair 200-kwa wakati mmoja ( na huwa na mashubaka maalum ya viatu). Hii haina maana kuwa hawagawi viatu. Hugawa ili wawe na nafasi kwa kuweka mali mpya zaidi maana kwa mkupuo anaweza kununua hadi pair 20! Hawa ni wanawake wa Tanzania na siyo ulaya.Tukubali kuwa wanawake wanapenda kuvaa na mara nyingi kila vazi atapenda liwe na kiatu chake maalum.

Ukitoka nje ya mipaka ya Tanzania nako unaweza kuona viroja kwenye mapenzi ya viatu na wanawake. Mnamkumbuka mama wa Kwanza wa Phillpines?Mwenyewe aliwahi kusema hivi :
I did not have three thousand pairs of shoes, I had one thousand and sixty.
Imelda Marcos
 
Masaki

Kwani si ananunua kwa pesa yake au? Au ndo yale unataka kumpangia pesa za viatu ni sawa na matofali 100 si bora tujenge nyumba! lolz
 
Masaki

Kwani si ananunua kwa pesa yake au? Au ndo yale unataka kumpangia pesa za viatu ni sawa na matofali 100 si bora tujenge nyumba! lolz

Hahahah! Ananunua kwa pesa yake ndio, ila sasa ndio hivyo usitegemee msaada wa pesa toka kwake, itabidi tu ujipange sawa sawa kuhudumia familia kwa kuwa pesa yake yeye ni ya shopping tu!
 
Hahahah! Ananunua kwa pesa yake ndio, ila sasa ndio hivyo usitegemee msaada wa pesa toka kwake, itabidi tu ujipange sawa sawa kuhudumia familia kwa kuwa pesa yake yeye ni ya shopping tu!

Maisha mafupi na staarehe chache bwana, as long as haingii kwenye madeni na wala hakukwazi kwa kuomba pesa extra za shopping zake, mwache tu
 
Shopping is a woman thing. It's a contact sport like football. Women enjoy the scrimmage, the noisy crowds, the danger of being trampled to death, and the ecstasy of the purchase.
 
kwa kweli hakuna mwanamke Nyewza kuisi na pea mbili za viatu labda awe hana uwezo lkn pia 100 ni nyingi!
kuna nguo huwezi vaa na flat shoes,na wkt mwingine unapenda kuvaa flat,na huwezi kuwa na vya rangi moja lazima kila nguo uvae na kiatu kinachoendana nayo.
Ila kila mwanamke ana kitu chake anapendelea zaidi,wengine viatu hata awe navyo vingapi hatosheki,wengine perfum ,wengine wanacolect handbags n.k.
 
Maisha mafupi na staarehe chache bwana, as long as haingii kwenye madeni na wala hakukwazi kwa kuomba pesa extra za shopping zake, mwache tu

Hainikwazi kwa kuwa hata kama tuna mtoko ninakuwa na amani moyoni mwangu kwamba binti huyu anajua sana kuvaa kulingana na sehemu tunayokwenda. Ndio maana sina pingamizi na hili!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom