Ladies Na Pairs Luluki Za Viatu: Why?

yeeuwii, mie hadi hapa ofcn nawabore. zipo pair 5 za viatu. leo nikija na hk afu kikanchosha nabadilishia hum hum. dah haka kaugonjwa ucombe kakupate hakana tiba et!
 
Mh!pair mia ni vingi naamini vingine vinapitwa na wakati inapendeza kugawa,,kiukweli wanawake huwa na viatu vingi kuliko wanaume,na vingine vinaweza kumaliza miaka visivaliwe,lengo wakati mwingine ni kumechisha na nguo,au pochi,n.k.Pia usisahau kuwa mwanamke ni pambo anahitaji kubadilika na kupendeza,ila pair 100 ni nyingi kiongozi.

SI NYINGI TU ILA NI UCHAFU! ndani ya nyumba viatu vyote hivyo vya nini? siamini kama anasehemu kuuubwaa ya kutosha kuhifadhi viatu vyote hivyo kwa usafi!
mimi naamini nimewahi kumiliki hizo pair lakini kwa nyakati tofauti nakuwa na 10 anglau baada ya muda either vinaharibika au navigawa then nanunua tena si tu vitapitwa na wakati ila viatu ukiviweka sana (hasa vya wanawake ambavyo vingi sio pure leather) vinaharibika siku ukivivaa usishangae either soli inangooka tu au vinachanikavhanika ila ngozi yake laini. huyo mkeo ni mchoyo
 
Back
Top Bottom