Ladies...... Is life all about marriage?????????????????????

Ladies...... Is life all about marriage?????????????????????

She sounds like not....and she needs to.. but not lucky and stressed...

Amnt tofali, not stressed, currently marriage sio priority sana still struggling with life!!!! just began new things!!!!

Y shud i frastrute my self while i knw it will happen even am in my fifty's!!!!!!! I knw it is God's promise and shall come to pass- FOR BELIEVERS ONLY!!!!!!
 
Mbona unajikanganya? Mwanzo umesema Ndoa sio goal, baadaye unasema ni mpango wa Mungu.
I think your point imelala kwenye KUTULIA, lakini what if kuwa na wanaume wengi is one's hobby hata kama hatafuti ndoa?

Karibu MMU na JF! where we dare to question everything including assumptions na people's opinions!

asante kwa ukaribisho!!!!!!!!!!!!! Ndoa haitakiwi kuwa goal coz it's God's purpose for you since creation!!!! you shud know that as a gal, when you were born there were a man born already for you.........
Tatizo ni patient to wait while umetulia for him!!!!!!!
 
Nilishaingia huko na nikatoka kwa matatizo, lakini bado hakuna atakayeniconvice kwamba ndoa sio kitu. Inategemea uko na nani na anakufanya ujisikie vipi, it feels so good kuwa na mwenzako anayekupenda na kukujali nawe ukafanya hivyo..... Jamani it feels so good to hold your man (the man you own, wako peke yako na wewe wake peke yake ) all night long.... it just feels so good, so natural na unaweza ukanawiri bila hata kupaka carolite. Ndoa ni human nature, ni tamu sana mkipendana aisee.
nimesikia sauti yako hapa ujue!
nimefurahi na nimeumia!
well,ndo maisha mumiii!STAY POSITIVE!
 
Amnt tofali, not stressed, currently marriage sio priority sana still struggling with life!!!! just began new things!!!!

Y shud i frastrute my self while i knw it will happen even am in my fifty's!!!!!!! I knw it is God's promise and shall come to pass- FOR BELIEVERS ONLY!!!!!!



pole sn ndugu cataliya, Nnachokiona hapa ni kweli kustruggle na maisha kubuild your future first na mambo mngn yatafuata.
HINT: Struggle sn but kumbuka mtoto nae wa muhimu sn ndg yang.
 
Mbona unajikanganya? Mwanzo umesema Ndoa sio goal, baadaye unasema ni mpango wa Mungu.
I think your point imelala kwenye KUTULIA, lakini what if kuwa na wanaume wengi is one's hobby hata kama hatafuti ndoa?

Karibu MMU na JF! where we dare to question everything including assumptions na people's opinions!
Umeongea mkuu, nadhani hakujua anataka kusema nini !! kubwe hata yeye ndoa anaitaka ila anapenda watu wasitafute hao waume kwa pupa bali watulie...
 
Napenda nijuzwe hivi ladies maisha ni ndoa tu?????????????????? Umezaliwa kuolewa??????????????

Ladies hamna goals za kufikia ila ni ndoa tu??????????????? Hivi mnajua kuwa watu wana-manipulate hii dhana kichwani mwenu kwamba mmezaliwa just ku satisfy men, which nasema it zn't tru kabisa!!!!!!!
Naamini ni mpango mzima wa Mungu kila mtu apate mwenza wa maisha ila patience is just required thats all....
usifanye trial and error kisa u just want to get a man to marry you....

Ukijitunza eventually utapata a man sent by God and you will have a strong Home!!!!!!!!!!!!!!!!!

EVERYTHING WILL FALL INTO PLACE JUST BY PATIENCE!!!!!!!!!!




Live a life of a purpose!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Alafu hii notion ipo kwa mitanzania tu! kama umefuatilia vizuri
 
Life z all abt happyness to me so f someone thnk akiolewa atakua happy thn fight 4 ndoa.kama u thnk usipoolewa u ll be happy thn be single.kila mtu anadifine life kivyake dis thngs needs kila mtu ajitambue
 
Thanks I will always, ... eti na mimi nimesoma tena hiyo post yangu ili nifeel ulivyosikia sauti, du! so touching kumbe, mpaka nikashed tears hahahah.
umeona enh!
with that positivity sijui nikwambiaje!watu wengi tukifail kwenye jambo fulani iwe kwa kuangushwa au kuumizwa huwa hatuwezi kulitazama jambo linalohusiana nalo kwa uchanya!sijui unanielewa!
like nimeshindwa mimi kushoot penalt basi naona kila mtu miguu imepinda na wala siamini kuwa kesho naweza nikapiga nikapata!
yani nimependa ur attitude!serious!
wewe ni miongoni mwa wale mapioneer wa theory yangu kwenye mahusiano!NIMEANGUSHWA SASA,NASIMAMA,NAFUTA VUMBI!NAISHI!
BRAVO!
 
asante kwa ukaribisho!!!!!!!!!!!!! Ndoa haitakiwi kuwa goal coz it's god's purpose for you since creation!!!! You shud know that as a gal, when you were born there were a man born already for you.........
Tatizo ni patient to wait while umetulia for him!!!!!!!

mh ila usitulie sanaaaaaaa

kujichanganya pia muhimu, uliza walio kwenye ndoa.

Sasa wewe endelea kujifungia chumbani kwako uone
 
Life z all abt happyness to me so f someone thnk akiolewa atakua happy thn fight 4 ndoa.kama u thnk usipoolewa u ll be happy thn be single.kila mtu anadifine life kivyake dis thngs needs kila mtu ajitambue


AH WAPI WEWE!

MUCH AS KILA MTU ANA DEFINITION YAKE, BADO PIA MTAZAMO WA JAMII UNAYOISHI MATTERS ALOT KUSHAPE HIYO DEFINITION YAKO.

SIJUI WHY WATU MNAKIMBIA UKWELI, YANI NI BORA KU-FACE UKWELI ILI HATA MUNGU AKUPE UNACHOTAMANI BADALA YA KUJIFANYA sizitaki mbichi hizi
 
Alafu hii notion ipo kwa mitanzania tu! kama umefuatilia vizuri

wewe acha uongo wewe!

nimeishi uganda, kenya, rwanda na south nimeshafika kote MTIZAMO KUHUSU NDOA NI ULE ULE TU!

Ukicheki kupitia media kuhusu nchi mbalimbali especially West Africa ambako Arfican traditional ziko upheld ndo usiseme, yaani kule ndoa ndo mpango mzima!

huko uarabuni ndo acha tu, yaani ndo maana mume mmoja wanawake 4 wanakubali kuolewa BECOZ NDO MPANGO MZIMA WA JAMII HUSIKA.
 
ndo hvyo mkuu....
kwakweli inauma sn hasa kw upande wa dada zetu hawa. but s'timz naweza kusema mengi wanayataka wnyw mana kuna mdada m1 hapa mtaan kwetu mrembo kweli kweli na kwao mambo safi but kilichomtokea hamuwez amini....
Ile Kipind cha usista duu wake aliwakataa wachumba kbao kisa si mahandsome&hawana pesa ka walizonazo kwao.
Sa kilichomtokea kila aliyetaka kumchumbia anamkimbia......
mdada wetu mpk kafikia 38yrs hakuna anayetokea, kila BF anaekua nae mara ataskia miez miwili mitatu kaoa dem mwngn wkt yy yupo tena hapa hapa town kila siku ye wakulia tu.
Juz kati hapa ndo kapata mchumba tena mtu mwnyw mme wa wake wawili, mdada wa watu imembidi tu aolewe hakuna alternatv tena umri ushamtupa mkono.

CHEZEYA NDOA WEYE!

WATU WANAJISHAUA BURE TU HAPA! Utasikia eti, oh am happy to be single, ah wapi!

mimi hata ningekua single bado ningekubali kwamba ndoa ni jambo jema na la msingi sana. Sasa nashangaa hawa masistadu wanojifanya they are so comfortable kumbe lonely kishenzi kila kukicha kuponda ndoa za watu ili kujipa faraja.


yaani hata nikiachika mie, bora niolewe mke wa pili kwa muislamu nipate tu cheti changu na zamu zangu kama kawa maisha yasonge badala ya kuishia kuwa Sugamummy lol
 
Nakubaliana na Ayanda,
Mtazamo wa jamii una mchango mkubwa sana katika maamuzi yetu ya kuolewa ama kuoa.
Hata tukijaribu kukataa na kusema vitu kama IF IT MAKES U HAPPY DO IT, IF NOT LEAVE IT.......nk

Ukweli utabakia pale pale kwamba, at a certain age utakuwa unadhani u can do whatever makes u happy including staying single kwa sababu wanaume wamekuwa majanga, but kuna age itafikia utajiona unapwaya katika jamii yako mwenyewe.

LETS THINK BIG, USIJE UKAKIMBIA KIVULI CHAKO MWENYEWE KESHO.

NDOA NI MUHIMU SANA KULETA FURAHA, KUENDELEZA KIZAZI NA KULETA HESHIMA PIA.

ASANTENI.
AH WAPI WEWE!

MUCH AS KILA MTU ANA DEFINITION YAKE, BADO PIA MTAZAMO WA JAMII UNAYOISHI MATTERS ALOT KUSHAPE HIYO DEFINITION YAKO.

SIJUI WHY WATU MNAKIMBIA UKWELI, YANI NI BORA KU-FACE UKWELI ILI HATA MUNGU AKUPE UNACHOTAMANI BADALA YA KUJIFANYA sizitaki mbichi hizi
 
umeona enh!
with that positivity sijui nikwambiaje!watu wengi tukifail kwenye jambo fulani iwe kwa kuangushwa au kuumizwa huwa hatuwezi kulitazama jambo linalohusiana nalo kwa uchanya!sijui unanielewa!
like nimeshindwa mimi kushoot penalt basi naona kila mtu miguu imepinda na wala siamini kuwa kesho naweza nikapiga nikapata!
yani nimependa ur attitude!serious!
wewe ni miongoni mwa wale mapioneer wa theory yangu kwenye mahusiano!NIMEANGUSHWA SASA,NASIMAMA,NAFUTA VUMBI!NAISHI!
BRAVO!
Ni kweli kabisa yani!
 
Ndoa ni nini?

Tunaongelea nini tunapoongelea ndoa?
 
Back
Top Bottom