Ladies...... Is life all about marriage?????????????????????

Ladies...... Is life all about marriage?????????????????????

"Show me your friends and I'll tell you who you are"

Ulichofanya ni kujielezea wewe ni mtu wa aina gani tu

Eewwww

my DEAR HAO WANAWAKE WOTE SIO MARAFIKI ZANGU TENA NI WAMAMA WATU WAZIMA, WENGINE NI WAHESHIMIWA WAKUBWA SO THEY ARE NOT MY FRIENDS AT ALL.

Most of my friends ni wake za watu, wengine ni desperate single ladies with/without boyfriends. Wengine ambao nipo nao muda mwingi ni walokole na waislamu swala tano! UPO

MIMI HAPA NILISHASEMAGA MIMI NI WA AINA GANI KITAMBO! KWAHIYO AINA YANGU SIO AGENDA YA HUU MJADALA HAPA.
 
Kama si rafiki zako lakini unawajua "wote" maisha yao binafsi ya wanavyosumbua ndoa za watu na wote kuwa vimada inazidi kutia shaka wewe ni mtu wa aina gani

Double eewww
 
nilisema nafikiria divorce, siwezi kuitamani divorce!

ingekua divorce ni rahisi, basi ningekua nimeshadivorce siku nyingi.

divorce kitu kingine wewe, na pia sitaki kua single kwahiyo hata ningedivorce baada ya muda ningekua kwenye ndoa tu na mtu mwingine maybe.

kwahiyo msijipe moyo eti ndoa kitu gani? thubutuuuuuu unadhani mumngu alivyompa Adam mwenzake wa kuishi nae alikua hajui anachofanya eh!

Hahahahahah.
 
cheki katika red tuu!!!!!!

jamani ah haya majangaaaaaaaaa tena majangaaaaaaaaaaaa

hiyo STATUS hapo ni kwa mujibu wa mila na desturi ambazo nimeelezea vizuri!

jamani hivi mbona sisomeki!

tangu mwanzo nimesisitiza jinsi jamii inavyochukulia ishu ya ndoa, na status ambayo tuliopo kwenye ndoa tunapewa na jamii hata kama hatustahili, BUT THE FACT THAT UR MARRIED, THE SOCIETY GIVES A CERTAIN RESPCET WHICH U CANT GET IF UR NOT IN MARRIAGE.

Ah mnanichosha bwana nyie watoto!

nimeanza kuhisi maybe hapa JF wengi ni form 4 leavers 2012, yaani mnaleta emotions zenu kwangu badala ya kuangalia concept ya marriage in an african society ambayo wengi wetu humu ndo tupo
 
huenda lakini mimi lugha za matusi nazitumia chumbani tu, au hujamsoma alivyosema "debate ya kisengery", honestly sina company yenye kutumia lugha za hivyo pindi mnapotofautiana hoja so l am also out.

mimi ukitumia matusi ni dalili ya kushindwa!
ila kwani yakitumika chumbani ni matusi!yanakuwa maneno mazito tuuu bana!
mi nawacheck tu hapa mnavodadavua!
takuja kuweka pwenti bidae sa hiz nna bhange ka misokoto miwili hv kichwani!
 
huenda lakini mimi lugha za matusi nazitumia chumbani tu, au hujamsoma alivyosema "debate ya kisengery", honestly sina company yenye kutumia lugha za hivyo pindi mnapotofautiana hoja so l am also out.

sasa debate ambayo watu wanakataa live kukbaliana na ukweli si USENGERY TU HUO
 
jamani ah haya majangaaaaaaaaa tena majangaaaaaaaaaaaa

hiyo STATUS hapo ni kwa mujibu wa mila na desturi ambazo nimeelezea vizuri!

jamani hivi mbona sisomeki!

tangu mwanzo nimesisitiza jinsi jamii inavyochukulia ishu ya ndoa, na status ambayo tuliopo kwenye ndoa tunapewa na jamii hata kama hatustahili, BUT THE FACT THAT UR MARRIED, THE SOCIETY GIVES A CERTAIN RESPCET WHICH U CANT GET IF UR NOT IN MARRIAGE.

Ah mnanichosha bwana nyie watoto!

nimeanza kuhisi maybe hapa JF wengi ni form 4 leavers 2012, yaani mnaleta emotions zenu kwangu badala ya kuangalia concept ya marriage in an african society ambayo wengi wetu humu ndo tupo

hiz zereu hiz zinafanya hata ulichoongea ambacho kinaweza kuwa ni cha msingi kiwe nuts tu!
hebu relax bana!huwa unaamini sana kuwa watu hawakuelewi but wewe ndo mwenye personal attacks nying sana bana!
relax na tuyajadili haya bila mazereu!!
 
mimi ukitumia matusi ni dalili ya kushindwa!
ila kwani yakitumika chumbani ni matusi!yanakuwa maneno mazito tuuu bana!
Mi nawacheck tu hapa mnavodadavua!
Takuja kuweka pwenti bidae sa hiz nna bhange ka misokoto miwili hv kichwani!

this is not a competition for it has no prize
 
hiz zereu hiz zinafanya hata ulichoongea ambacho kinaweza kuwa ni cha msingi kiwe nuts tu!
Hebu relax bana!huwa unaamini sana kuwa watu hawakuelewi but wewe ndo mwenye personal attacks nying sana bana!
Relax na tuyajadili haya bila mazereu!!

nshamaliza mie
 
kama si rafiki zako lakini unawajua "wote" maisha yao binafsi ya wanavyosumbua ndoa za watu na wote kuwa vimada inazidi kutia shaka wewe ni mtu wa aina gani

double eewww

ok, naona wewe maybe ni first yako humu but wadau wanifahamu mambo yangu maybe waulize
 
Nilishaingia huko na nikatoka kwa matatizo, lakini bado hakuna atakayeniconvice kwamba ndoa sio kitu. Inategemea uko na nani na anakufanya ujisikie vipi, it feels so good kuwa na mwenzako anayekupenda na kukujali nawe ukafanya hivyo..... Jamani it feels so good to hold your man (the man you own, wako peke yako na wewe wake peke yake ) all night long.... it just feels so good, so natural na unaweza ukanawiri bila hata kupaka carolite. Ndoa ni human nature, ni tamu sana mkipendana aisee.
 
ok, naona wewe maybe ni first yako humu but wadau wanifahamu mambo yangu maybe waulize

Do I look like I've the time ya kufuatilia maisha ya random people I meet on the web?
 
do i look like i've the time ya kufuatilia maisha ya random people i meet on the web?

ndo nakushangaa unavyokazania kunijibu comments zangu kana kwamba kuna ulazima!

Hivi dont you have anything to do hapo?

Maana mie leo nipo free tu, so i have all the time to spend on jf!
 
ndo nakushangaa unavyokazania kunijibu comments zangu kana kwamba kuna ulazima!

Hivi dont you have anything to do hapo?

Maana mie leo nipo free tu, so i have all the time to spend on jf!

Sijakazana bado, na wala hutakaa ukaniona nimekazana hapa JF

Ni hivi, sipangiwi na jamii ya Kiafrika ilokulazimisha wewe kukaa na mume majanga kwa kujifariji kuwa utapata status, itakuwa a random person kwenye internet?
 
POLE SANA MUMIE, KUMBE NI JIKE DU MIMI NILIDHANI WEWE NI DUME.

AISEE UNA HASIRA!

RANDOM PERSON NAKUPA SHIDA EH?

Hahhahhaha eh nakusuburi mamito!

halafu sijawahi kukuona hapa JF.

I LOVE PEOPLE LIKE YOU ALOT
 
I can't say the sentiment is reciprocated
 
Back
Top Bottom