muxin
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 175
- 61
Jamii inavyomtazama mwanamke asiyeolewa ni tatizo la kwanza.
Ugumu wa maisha pia unachangia wadada wengi kuona ndoa ni mkombozi(kiuchumi)
hapi umenena mkuu.
Jamii inavyomtazama mwanamke asiyeolewa ni tatizo la kwanza.
Ugumu wa maisha pia unachangia wadada wengi kuona ndoa ni mkombozi(kiuchumi)
I can't say the sentiment is reciprocated
You are right, mimi nafikiri ni yeye mwenyewe yuko desperate na anachofanya ni kujishawishi na kujipa moyo baada ya kuharibu, sasa ameamua atulie huenda akapata mume.
Si unajua zetu, unasagia kitu unachokitamani ili kupata nafuu kidogo moyoni.
Bidada cataliya, mimi in my late 30s sijaolewa and l am okay with that; na wala sioni waliolewa ni watumwa wala nini. Nafurahia na kuipokea siku jinsi inavyokuja; so relax. Wanawake wa leo wote wana malengo hata kama kuolewa ndio lengo, sio mbaya!
jamani ah haya majangaaaaaaaaa tena majangaaaaaaaaaaaa
hiyo STATUS hapo ni kwa mujibu wa mila na desturi ambazo nimeelezea vizuri!
jamani hivi mbona sisomeki!
tangu mwanzo nimesisitiza jinsi jamii inavyochukulia ishu ya ndoa, na status ambayo tuliopo kwenye ndoa tunapewa na jamii hata kama hatustahili, BUT THE FACT THAT UR MARRIED, THE SOCIETY GIVES A CERTAIN RESPCET WHICH U CANT GET IF UR NOT IN MARRIAGE.
Ah mnanichosha bwana nyie watoto!
nimeanza kuhisi maybe hapa JF wengi ni form 4 leavers 2012, yaani mnaleta emotions zenu kwangu badala ya kuangalia concept ya marriage in an african society ambayo wengi wetu humu ndo tupo
yah! Umeongea jambo la msingi sana ndugu.....
Ni kweli kabisa mtu aliye kwny ndoa huwez kabisa mkompare na asiye hata km ana umri mdg kuliko but heshima yake ni kubwa sn ktk jamii
ila mtu unapojifariji unakuwa na kazi ngumu sana manake hadi uweze kushawish mazingira yashabihiane na ulivyo ww sio mchezo.
it needs one to understand her position in life as a lady and how capable she is out of so many circumstances.
if a lady fails this she will always regret. ishu jikubali kisha jitambue period.
haya mama tumekusikia ngoja tujitulize home
si unaona eh!
nilisema nafikiria divorce, sasa ningekua nina uhakika juu ya divorce ningekuja kuomba ushauri?
nachomaanisha kutoka hakuna anayetaka wala nini! ingekuwa nataka ningekua nimeshadivorce wala sio kuja kuomba ushauri hapa!
chezeya libeneke la divorce weye! unadhani nitachukua maamuzi mazito kama hayo kwa ushauri wa JF members! Thubutuuuuuuuuuuu
the worse thing ni kwamba her HW reads like yuko frustrated.
kwangu mimi nimemperseve kama vile ana ndugu ambaye maisha yake yamekuwa stagnant kisa tu hajaolewa sasa she wants to tell her lkn anaogopa.
BTW nimependa ukaribisho wako manake umejaa salam kabambe.
Inavyoonekana dada Ayanda uko tayari kwa manyanyaso yote ili tu umaintain status ya ndoa kazi kweli kweli
Join Date : 24th June 2013Napenda nijuzwe hivi ladies maisha ni ndoa tu?????????????????? Umezaliwa kuolewa??????????????
Ladies hamna goals za kufikia ila ni ndoa tu??????????????? Hivi mnajua kuwa watu wana-manipulate hii dhana kichwani mwenu kwamba mmezaliwa just ku satisfy men, which nasema it zn't tru kabisa!!!!!!!
Naamini ni mpango mzima wa Mungu kila mtu apate mwenza wa maisha ila patience is just required thats all....
usifanye trial and error kisa u just want to get a man to marry you....
Ukijitunza eventually utapata a man sent by God and you will have a strong Home!!!!!!!!!!!!!!!!!
EVERYTHING WILL FALL INTO PLACE JUST BY PATIENCE!!!!!!!!!!
Live a life of a purpose!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
really???????
since when, wakati weye ndiye mwalimu wangu na mshauri mkuu!