Dero
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 328
- 193
Kuolewa kuna raha jamani, kama hujaolewa sali umuombe Mungu akupatie mume mwema, na sio kukaa kujidanganya na kujipa moyo eti ndoa sio goal ya maisha. Kwanza unamchanganya Mungu, ukiongea na watu "ooh mi sina shida na kuolewa", wakati kimoyomoyo "natamani kuolewa".