your perception is & will never be my reality........
lipi ni lipi kwenye hizo red!!!!!!!!!
either way doesnt matter!
hapa siko kwenye kampeni bwana na wala sitafuti wafuasi
your perception is & will never be my reality........
lipi ni lipi kwenye hizo red!!!!!!!!!
Tukubali just because wengine (wenzetu) wamekubali? sijakataa watu kung'ang'ania ndoa zenye mateso kwa ajili ya status, lakini ni asilimia ndogo, wengi wao ni kwa ajili ya watoto na welfare yao zaidi ya status, lkn pamoja na hayo hii inapungua kwa kiasi kikubwa baada ya wanawake kujitambua. Hivi ayanda ukipishana na mtu mtazamo basi ni lazima utumie lungha ya matusi???????
either way doesnt matter!
hapa siko kwenye kampeni bwana na wala sitafuti wafuasi
ayanda, vipi kumbe ule mpango wako wa kutaka kuivunja ndoa yako ulikuwa ni gheresha tu. Kweli akili kumkichwawala tulioolewa hakuna anayetaka kutoka wewe lol
huu msemo sijui ulitokea wapi!
chezeya status inayoletwa na ndoa weye!
hata wanaume hakuna anayetaka kutoka kwa taarifa yako!
hivi is it bad kufikiria the other side of the coin na kuseek maoni ya wengine?
ndoa nifunge mie, divorce nifikirie mie! hasira upate weye!
majangaaaaaaaaaaa mbona majangaaaaaaa
Tukubali just because wengine (wenzetu) wamekubali? sijakataa watu kung'ang'ania ndoa zenye mateso kwa ajili ya status, lakini ni asilimia ndogo, wengi wao ni kwa ajili ya watoto na welfare yao zaidi ya status, lkn pamoja na hayo hii inapungua kwa kiasi kikubwa baada ya wanawake kujitambua. Hivi ayanda ukipishana na mtu mtazamo basi ni lazima utumie lungha ya matusi???????
mi ndio maana najitunza na kufanya mambo mengine ya maendeleo just waiting for you.
your attitude is so disgusting
mie nimemaliza,Take it or leave it!!!!!!!!
Kwaheri mwaya!
ayanda kama wewe na wenzio mmekubali kuishi kwenye ndoa za majanga kwa sababu mnaona mnapata status, ni nyinyi.
Wengi sana hivi sasa wanahiari talaka au kuwa single kuliko hicho ukitakacho wewe na ahli zako
Hata wazee wameamka siku hizi wanasema happiness mwanzo.
Lakini kama mwenyewe hujitambui na kujiona duni lazima ulazimishie ndoa
Kwa anajithamini furaha inawekwa mbele daima
hivi nani kawaambia mkubali kitu, kwani hapa kuna TUZO nyie vipi eh?
huu mtizamo wa jamii hautiji ukubaliana nao ama vipi, upo na utaendelea kutuguide katika maisha yetu.
wewe kama ni mwanaume sasa subiri ufike 4o na bado hujaoa then utaona jamii itakavyokusakama, kama ni mdada pia jamii itakusakama hadi ukose amani.
mimi siupendi huu mtazamo wa jamii ila ndo hivyo nitafanyaje na ni lazima niishi kulingana na taboos na traditions zilizowekwa na jamii.
ala! mnabisha nini nyie
ayanda kama wewe na wenzio mmekubali kuishi kwenye ndoa za majanga kwa sababu mnaona mnapata status, ni nyinyi.
Wengi sana hivi sasa wanahiari talaka au kuwa single kuliko hicho ukitakacho wewe na ahli zako
Hata wazee wameamka siku hizi wanasema happiness mwanzo.
Lakini kama mwenyewe hujitambui na kujiona duni lazima ulazimishie ndoa
Kwa anajithamini furaha inawekwa mbele daima
ahahahahhahah unaanza kuzeeka ujue!Tukubali just because wengine (wenzetu) wamekubali? sijakataa watu kung'ang'ania ndoa zenye mateso kwa ajili ya status, lakini ni asilimia ndogo, wengi wao ni kwa ajili ya watoto na welfare yao zaidi ya status, lkn pamoja na hayo hii inapungua kwa kiasi kikubwa baada ya wanawake kujitambua. Hivi ayanda ukipishana na mtu mtazamo basi ni lazima utumie lungha ya matusi???????
ayanda, kutafuta ban nako ni ku-please watu?hahahahah:becky:ah mnachosema ni ukweli sijui eti happiness sijui nini!
ila kwa hapa africa kwetu, mwanamke/mwanaume bila ndoa hana heshima. ITS PAINFULL LAKINI NDO HIVYO JAMANI,
HIVI MNAKATAA ILI IWEJE, mbona wenzenu wameshalikubali hilo na ndio maana watu wanashikilia ndoa zangu ili kutopoteza ile social status ambayo pia inaleta furaha kidogo ama confidence hata kama ndoa yenyewe ni majanga!
ah hapa naona hii ni debate ya *******ry tu, watu mnabisha tu wakati mnakubali ni ukweli.
wanawake wote waliotalikiana na waume zao ambao ninawajua mimi, hivi sasa ni NYUMBA NDOGO ZA WAUME WA WATU TENA WENGINE WAMESUMBUA KWELI NDOA ZA WENZAO.
ayanda, vipi kumbe ule mpango wako wa kutaka kuivunja ndoa yako ulikuwa ni gheresha tu. Kweli akili kumkichwa
Reference materials please ayanda, its a nice:clap2: comment but it lacks back up mumyah hebu someni ni wapi mimi nimesema ndoa ni status?
mimi nimenukuu tu MTAZAMO WA JAMII YA KIAFRICA JUU YA NDOA, AU NALO MNABISHA?
He, hivi ninyi watu vipi? someni vizuri comments zangu bana.
ndo maana yake besty
hivi ndo hali ilivyo kwa taarifa yako!
watu tunangangania status, piga ua! aliye kwenye ndoa yupo sehemu nyingine na aliye single.
Hii ni ukweli kwa wote wake kwa waume.
pesa na mengineyo ni mbwembwe tu!
ah bwanae, hivi watu wanasema eti oh ndoa za siku hizi hazudumu! UONGO MTUPU
Hebu hesabu ndoa ngapi ulizoattend tangu uzaliwe na ngapi zimevunjika, utakuta ni moja tu kati ya 20.
in that sense, ndoa zinadumu sana na zinazoharibika ni chache tena sana, ila waseme tu kwamba ndoa za siku hizi ni full majanga lakini kudumu zinadumu na wanandoa wanadunda hivyohivyo tu.
wanaume vitombi ndo wanaongoza kwa kungangania pete zao vidoleni(status), hata kama nyumbani hapakaliki.
walio kwenye ndoa ni status nyingine yenye heshima yake kwa jamii( haina haja ya kubishana hili) na walio single ni status nyingine ambayo haina heshima kivile kwenye jamii.
Huu ni mtizamo wa jamii niliyokulia mimi na wewe kwa hiyo haina haja ya debate.
kama huo mtizamo wa jamii ni wa kisengery basi sio kosa langu wala lako, ila habari ndo hiyo
ah hebu someni ni wapi mimi nimesema ndoa ni status?
mimi nimenukuu tu MTAZAMO WA JAMII YA KIAFRICA JUU YA NDOA, AU NALO MNABISHA?
He, hivi ninyi watu vipi? someni vizuri comments zangu bana.
wewe, umejuaje kuwa huyu ni mwanaume??
ayanda, don't panic bana, we are just learning and sharing our personal or other people experience, sasa kwanini unachimba mkwara?pole yake, next time usichangia pale ninapocomment