Ladha ya kufanya mapenzi ipo wapi?

Ladha ya kufanya mapenzi ipo wapi?

Ni ajabu kuwa baadhi ya watu ni wavivu kusoma, wavivu hata “kugugu” yeye akishaona ana tatizo ana assume ni tatizo la dunia nzima.

Kuongeza hapo kwenye Asexual, ngoja tumshangaze mleta mada …Kuna watu hawasikii ladha ya chakula maisha yao yote, wanakula tu ili waishi, Wanatushangaa iweje unakula na kufurahia chakula….
Haya maisha bwana, kuna watu hawapati harufu eti, yaani hata ubwabwa unukie vipi yeye walaa...

Basi kwa huyu ndugu yetu hatumlaumu hata kidogo, wenzake tukiona kifua kilichojaa, lips na tyako damu inaenda mbio, na uzee huu bado tu inaenda mbio😅😅
 
Ooh dear wewe ni Asexual, nenda kajisome vizuuuuuri mna kakikundi chenu utakutana na wenzio mzidi kupeana ushauri na changamoto mbalimbali,

Ila usiwasimange ambao sio asexual kwa kupenda ngono, ngono ni tamu ndio ilowatoa Adam na Hawa bustanini.
Usha wachanganya waja, kuna mtu nilibishana nae kuhusu hii Asexual, eti yeye akawa anakadhania ni Khanithi.

Najaribu kumpa Elimu, hata haelewi, nilimuachaa.
😂😂😂😂😂😂
 
Ngono ni biashara, ngono ni kitega uchumi, ngono ni utamu, ngono ni ujasusi kwa jirani, ngono ni shina la siri, ngono ni uzazi, ngono chanzo cha magonjwa, ngono ni nira, ngono ni kujuana, ngono ni utemi, ngono ni uchafu, ngono ngono ngono mtakufa kabla ya siku mambwa nyie!
😂😂😂😂😂😂
 
Anajua sana anajitoa ufahamu tu,
Sema nilivyomsoma mtoa mada na mfululizo wa mada zake anavyozifyatua kila baada ya dakika 2, itoshe kusema Mirembe imejaa wazima ilhali wagonjwa wapo mitaani wanadunda tu.
😂😂😂😂😂😂😂
 
Hivi ladha ya kufanya mapenzi ipo I wapi kwanini watu wana promote Sana? Kusema ukweli watu wanaipromote ngono kipa mara ila haina ladha wala faida yoyote au kuna namna yoyote ya kufanya mapenzi mpaka afurahie yaani unatumia nguvu ladha unaipata kwenye kumwaga Tu? Au kuna sehemu nyingine ambapo unaweza kuenjoy kufanya mapenzi apart kwenye kumwaga?

Watu wanahangaika kuangalia sura lakini sura inaimapact nini kwenye kufanya ngono? Sura na rangi inafaida gani kwenye kufanya ngono? Kwanini watu wanaover rate sana hii kitu inaitwa ngono? Nilijaribu kutoka nje ya ndoa labda shida ni mke wangu nikachepuka na demu mmoja mweupe tena sana lakini nimefanya sijaona ladha yoyote ile nikaona huu ujinga

Ngono ni haina faida wala ladha yoyote ile mara ya mwisho kuinjoy nilikutana na mmasai mmoja hapo atleast niliinjoy lakini bado nikaona apart from kutumia nguvu kwenye ladha ya ngono ni pale kwenye kumwaga tu basi

Acheni kupromote ngono ni ujinga tu
Mkuu mawazo yako hayo yakatae, maana unakoelekea utakuwa hanithi.

Umeanza kuinyanyapaa ngono, umekwisha wewe.

Jiulize, dakika 90 za mechi ya foot ball huwa wachezaji wanahangaika kutafuta nini uwanjani, mabio yote hayo, jazba na ghadhabu, nguvu nyingi na jasho jingi hutoa ili wapate nini kama siyo kwa ajili ya kitendo kidogo sana cha kufunga goli?

Kukojoa wewe unakuchukulia poa, kwamba ni jambo la kawaida sana siyo?

Biolojia huwa haibishiwi wala kupingwa, ukianza kuikosoa unaanza kumkufuru Mungu.

'Kukojolea' ndiyo tendo linalobeba mustakabali wa uwepo wa mwanadamu, upendo na furaha.

Na ili uipate furaha kwa njia ya kukojoa, lazima ukate sana mauno kwanza na utumie nguvu nyingi ili kufanikisha.

Furaha ya ukikojozi haipatikani kirahisi rahisi mpaka uihenyee kwanza, ebo!
 
Kwamba ngono sio tamu ? Utakua na tatizo kicwani hiv huoni bila ngono usingemuoa huyo mke wako unaemtia kimoja halafu utamu wenyewe unauisikia mwishoni kabisa 😆 ngono iheshimiwe ngono inataka wangonokaji bora ungekua mtawa
 
Una matatizo labda

1.Homoni zako zilishuka kitambo hujui tu

2.Una msongo wa Mawazo ambao unauchukulia kawaida

Ndugu
Mapenzi ni matamu mno haswa ukimpata unayempenda na anakupenda.

ILi mwili wako utimie unahitaji
1️⃣Kula vizuri.
2️⃣Kulala usingizi mzuri
3️⃣kufanya Ngono

Sasa kujituma kote Kwa watu na hekaheka zoooote unazokutana nazo ni kwaajili ya hivyo vitu vitatu muhimu

Lakini pia jinsia yako ni ipi?
Sio lazima na sio kwa wote kuna wengine ngono ni kwasababu ya kuzaliana tu
 
Tatizo lako lilianzia hapa,

JF VAR CHECK

😄😄😄
 
Back
Top Bottom