Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Watu kama wewe wameshanipa ushauri sana wa kupiga vyombo ila msimamo ni hapana vinywaji laini vinatosha
Ulevi wako tushauona kwenye avatar yako! Kuna jamaa hapo juu kasema huo ulevi wako ni hadi afikie chupa ya saba!
 
Uzuri wake wanatumia jasho lao.Hata hao wasiokunywa na wanaokunywa kivipato huwezi ona tofauti yao.Hawa wasiokunywa sijui hela Huwa wanapeleka wapi
...hahahaha...tena uwakute sasa wanavyozipigia bia hesabu za matofali na mifuko ya simenti;wangekuwa wanamiliki maghorofa
 
mie nikipiga windhoek sita, baada ya hapo zinazoendelea ni mafegi alafu kukesha mpaka asubuhi,naendeleza kinywaji mpaka usiku mwingine,huwa nikilewa sinaga hamu na papuchi, mademu watakunywa lakini mwisho wa siku narudi home mwenyewe, sipati mzuka nao
 
Uzuri wake wanatumia jasho lao.Hata hao wasiokunywa na wanaokunywa kivipato huwezi ona tofauti yao.Hawa wasiokunywa sijui hela Huwa wanapeleka wapi
Hii comment yako huwa nawauliza sana wanaodai namalizia pesa baa kwamba za kwao wanamalizia wapi?

Anyway nifafanulie avatar yako maana naona watu wanapeana kwa miguu
 
768f818e8e35d1da0535cfffbfbf581f.jpg

hii verse naielewa sana nikifika bia ya 10
 
Mkitaja bia yaani naona mapigo ya mbio yanaenda moyo nimejiwekea kautaratibu kagumu ka kunywa week-end tu aise hii nguvu ya ushindani ni kubwa sana nimeshindwa ingawa nimepunguza kutoka 4/5 a week mpaka 2/3 a week sasa baada ya kusoma uzi huu nimepata kiu ya ghafla natamani nisimame mahali nipate japo castle lager 4.
 
Hahahah .mi hizo bia niliisha acha niliona zinanifilisi tu ..kidogo labda safari nilihamia kwenye Nyagi na Imperial blue... Halaf mi nilikua tofauti kidogo falsafa ya kulewa maaana ukilewa lazma uongee ukweli ..ila Mimi nikilewa ndo nakua muongo wa hali ya juuu.. Kesho naanza kutafutwa kwa nilivyovisema...
Hahah daah unachekesha kichiz
 
Mkitaja bia yaani naona mapigo ya mbio yanaenda moyo nimejiwekea kautaratibu kagumu ka kunywa week-end tu aise hii nguvu ya ushindani ni kubwa sana nimeshindwa ingawa nimepunguza kutoka 4/5 a week mpaka 2/3 a week sasa baada ya kusoma uzi huu nimepata kiu ya ghafla natamani nisimame mahali nipate japo castle lager 4.
Umenifanya na mimi niungane na wewe, maana siku yangu ya kulainisha koromelo huwa nimejiwekea iwe jumamosi mpaka jumapili,lakini kwa uzi huu napitia dukani kwa mangi kidogo..
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom