kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,822
- 20,824
cha pombe wote tutawajua kwenye huu uzi
Wasiokunywa pombe wengi ni watu wa majungu na uchawi,,,amini ivyo mkuucha pombe wote tutawajua kwenye huu uzi
Wanasema mwanzoni mnywaji anakuw kama Nyani/Ngedere anachecheka tu,akiongeza kidogo anaanza kuwa kama Simba majigambo na kujiona mtemi akiongeza zaidi hugeuka nguruwe mambo anayofanya Huwa ni aibu kusimuliwa kesho yakeHaa haa haaa
Mimi nikifika bia ya 3 hua nakua na mawazo na mipango mikubwa sana ya kimaisha.
Ila nikifika ya 7 hua naanza kuwaza papuchi tu.
Bia Saba ukipakiwa kwenye tololi utakuwa mzembe sanaBia ya saba
[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Maandalizi ya kupakiwa kwenye toroli
Kuna jamaa alikunywa ili apate confidence ya kumtongoza demu,bahati Mbaya alikunywa mpaka akapitiliza akaanza kulia mbele ya demu,mbaya zaidi akajinyea ikawa aibu kubwaWatu kama wewe wameshanipa ushauri sana wa kupiga vyombo ila msimamo ni hapana vinywaji laini vinatosha
Unahujumu uchumi wa nchi weweSema no "pombe" 2018
Kila kitu kwa kiasi [emoji23] [emoji23]Kuna jamaa alikunywa ili apate confidence ya kumtongoza demu,bahati Mbaya alikunywa mpaka akapitiliza akaanza kulia mbele ya demu,mbaya zaidi akajinyea ikawa aibu kubwa
Vipi wale wa ngum kumeza, nyagi, grants, tu Dada vipi mafeeling yaoKwa wanywaji wazuri wa bia,
chupa ya kwanza [emoji481] huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo… Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake.
chupa ya pili [emoji481][emoji481] kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani huanza na haya huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi mbalimbali, siasa, idadi za ajali na kadhalika na wakati huu hata takwimu hutolewa zilizo sahihi….
Mtu anaweza kukutajia wachezaji wote wa ligi daraja la tatu la huko Ujerumani bila kukosea, hata idadi ya wachezaji wa Yanga bila kukosea.. Ila wakati huu kama unaanzisha mashindano ya kucheua ni wakati mzuri kwani bia ya pili huongeza hisia za kucheua.
Bia ya tatu [emoji481][emoji481][emoji481] huanza kumfanya mnywaji aanze kusikia furaha na pia huu huwa wakati ambapo karanga na korosho huliwa sana…. Pamoja na mazungumzo kuhusu mpira na siasa, ghafla mazungumzo kuhusu michepuko huanza kujitokeza…..
Bia ya nne [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] huanza kusababisha masikio yaanze kupoteza nguvu za kusikia kwani utaona mnywaji ghafla amepandisha sauti, na ukijumlisha na kuwa baa zetu huwa na muziki una kelele utadhani waliopo wote wana matatizo ya kusikia….. bia hii humsaidia kuongea kwa nguvu kushindana na kelele za muziki.
Bia ya tano [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] ni hatari kidogo kwani ukiinuka kwenda chooni mara nyingi unarudi hujafunga zipu……na kipindi hiki ni kibaya kwa wanywaji wa kike maana unaweza kumkuta akienda chooni akijiangalia kwenye kioo anaanza kulia peke yake na kulalamika; ‘Mi sipendwi mpaka leo sijaolewa’ au ‘ Mume wangu sijui yukoje hanijali’
Japokuwa lazima isemwe ukweli ukifikisha bia hii, maisha ni raha sana unaweza ukaanzisha shoo ya kukata mauno katikati ya baa na kudai wewe ni mkali kuliko Shilole.
Kuanzia bia ya sita [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] na kuendelea, chochote utakachosema au kufanya ni wazi kesho yake asubuhi utajilaumu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajumbe wenzangu wa kikao naomba karibuni bier ya 7 na kuendelea
Itakuwa ni mimi, kama ni dar ukonga madafu basi ni mimi.Mwaka mpya kuna jamaa alifikisha ya sita. Kila akipita mezani kwangu ananiagizi castle light 2. Simjui hanijui. Mchepuko wake ndio ulikua umeshika fuko la pesa
Walevi Huwa wanatengeneza network akizima kama mu waungwana mtawaza namna ya kumsaidiaMwaka mpya kuna jamaa alifikisha ya sita. Kila akipita mezani kwangu ananiagizi castle light 2. Simjui hanijui. Mchepuko wake ndio ulikua umeshika fuko la pesa
Wasiokunywa Bia wanapenda Mbunye balaaWatu kama nyinyi msiokunywa pombe kwa majungu ni hatari,, labda kasoro wewe mkuu
hahaaaa daaahHaa haa haaa
Mimi nikifika bia ya 3 hua nakua na mawazo na mipango mikubwa sana ya kimaisha.
Ila nikifika ya 7 hua naanza kuwaza papuchi tu.
Hahahaaa general galaduduMimi huwa ikifika castle lager ya 5 halafu niko kwenye live band huwa nakata mayenu hata defao haoni ndani, halafu demu ninaecheza nae hata kama hatujuani najikuta nimemuhamishia kwenye meza niliyopo mimi....... Baada ya hapo inaendelea bandika bandua bila kujua tena idadi zimefika ngapi, lakini wakati huo tunaendelea kusakata mayenu mwanzo mwisho..... Lakini baadae huwa cjui nini kimetokea najikuta nastuka kesho yake asubuhi nimestuka nimelala kwenye chumba tofauti kabisa na kwangu halafu pembeni yangu amelala mwanamke ambae pia ni tofauti na mke wangu...... Hapo ndo naanza kupanga mipango, mbinu na mikakati mizito ya namna ya kumdanganya wife nini kilinipata hadi nikashindwa kurudi nyumbani.
Ukilewa lazima kidhungu kinyookeJaman bia ipewe heshima ake .....
Nikinywaga safari ikifik ya 3 nikijishika usoni naona sura kama sio yangu ....
Sema bia inanifanyaga niongee kiingeleza kizurii sana kiasi kwamba hata IQ yangu inaongezeka ahahaha
Niambie mkuuHahahaaa general galadudu
hahaaa aisee basi kama ndio hvyo wake zenu shughuli wanazomi nikifika bia ya 5 naanaza kuwaza biashara nyingi sana na mambo makubwa makubwa, hadi nawaza naanzaje kopa benki ili niweze kufikia malengo, ila nikifika bia ya 10 daaah apo nawaza pauchi tu kila mdada hasa maabaamedi ndo wananivutia....
Wanywa pombe wote bar Huwa marafikiWasiokunywa pombe wengi ni watu wa majungu na uchawi,,,amini ivyo mkuu
Ili uchumi uanguke? wewe huu ni uchochezi na uhujumu uchumi.Sema no "pombe" 2018
hahaaa daaaahh mnavisa sana kumbeMimi bia ya nane naanza kugawa ofa, mpaka ya kumi na mbili waleti nyeupeeeee peee naanza kulia na kulia kulia lia lia lia sana, kisa nawaza laki ilivyokatika fasta na jinsi maisha yalivyonipiga sina gari wala Nyumba.