Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Kunywa bia kunasababisha mkojo mara kwa mara, hivi wanaofiksha bia 6 au kuzima kabisa mpaka hajui alifikaje home, kukojoa huwa wanafanyaje eti.

Huwa naishia 2 au 3, nataka siku nipige none stop, nitaacha pale ambapo sitweza kuinua glasi au kuagiza.
 
IQ zetu za ulevi ni mapacha.
Itakua vizuri siku moja nikukaribishe tupate pamoja
haa haaaaaa mzeee mwenzangu tutaweka miadi siku moja ili tuzipige pamoja tuone kama hatujatoka na bartender maeneo ya liquid tena ile mpya!!
 
hahaaa aisee basi kama ndio hvyo wake zenu shughuli wanazo
aaaah anajua ilo ndo maana hapendi niwe nakunywa nje, ananua kreti nzima ila naona nikiwa home nalewa mapema... haa haaaaa!! maana hakuna viburudisho kama mziki mnene maana utawakera majirani, hakuna sketi tofauti tofauti mara msambwanda mkuubwa mara kamodo raaah
 
hahaaa msambwanda mkubwa tena ...
naskia ukishalewa huchelewi kuanza kumuona bar maid kuwa ni Kim kadarshian...
maneno kama baby ..mtoto mzuri ..mchumba .cheupe nakupenda ujue ..unakunywa via gani mtoto mzuri ...maneno kama hayo huchukua hatamu faster kwa kasi ya 5g
 
haaa haaa mkuu apo hadi baamedi mbibi unamuona kama [HASHTAG]#MobettoHamissa[/HASHTAG], kesho ukiamka nae unatamani hadi majirani wasikuone vile unamtoa nje alivo mbaya haa haaaaa!!
 
hahaaaa aisee
 
KWA AFYA NI 3 , UKIZIDI UNAKUWA HIVI

images

images

images

images
 
Niko ya saba mpaka sasa lakini naona bado naweza kuandika embu ngoja nione mwisho wake 2 more
 
Back
Top Bottom