Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Mimi huwa ikifika castle lager ya 5 halafu niko kwenye live band huwa nakata mayenu hata defao haoni ndani, halafu demu ninaecheza nae hata kama hatujuani najikuta nimemuhamishia kwenye meza niliyopo mimi....... Baada ya hapo inaendelea bandika bandua bila kujua tena idadi zimefika ngapi, lakini wakati huo tunaendelea kusakata mayenu mwanzo mwisho..... Lakini baadae huwa cjui nini kimetokea najikuta nastuka kesho yake asubuhi nimestuka nimelala kwenye chumba tofauti kabisa na kwangu halafu pembeni yangu amelala mwanamke ambae pia ni tofauti na mke wangu...... Hapo ndo naanza kupanga mipango, mbinu na mikakati mizito ya namna ya kumdanganya wife nini kilinipata hadi nikashindwa kurudi nyumbani.
Ha ha ha ha upo wapi mkuu hapo wanapiga live Band Mie Calabash nimeshapachoka nataka nibadili kijiwe,hivi Tabata hamna sehemu wanapiga live Band?
 
Hahahah .mi hizo bia niliisha acha niliona zinanifilisi tu ..kidogo labda safari nilihamia kwenye Nyagi na Imperial blue... Halaf mi nilikua tofauti kidogo falsafa ya kulewa maaana ukilewa lazma uongee ukweli ..ila Mimi nikilewa ndo nakua muongo wa hali ya juuu.. Kesho naanza kutafutwa kwa nilivyovisema...
 
Back
Top Bottom