Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Mimi bia ya nane naanza kugawa ofa, mpaka ya kumi na mbili waleti nyeupeeeee peee naanza kulia na kulia kulia lia lia lia sana, kisa nawaza laki ilivyokatika fasta na jinsi maisha yalivyonipiga sina gari wala Nyumba.
 
Kuzimu hakuna bia...
Tuko hapa tunakunywa bia...
Na siku usipokuwa nasi pia,
Rafiki zako tutakunywa zako bia.
 
Mimi bia ya nane naanza kugawa ofa, mpaka ya kumi na mbili waleti nyeupeeeee peee naanza kulia na kulia kulia lia lia lia sana, kisa nawaza laki ilivyokatika fasta na jinsi maisha yalivyonipiga sina gari wala Nyumba.

Unamlilia nani ?
 
haaahaahaahaa tunafanana akili mkuu!__japo mimi nikifikisha ya 7 tu kila mtu lazima nimpe bia ya ofa
 
Back
Top Bottom